Naombeni Mrejesho kwanini watu wanaisifia sana Carina TI?

Hahahahahahah sio Murano tu hata gari yeyote ya ulaya😅 iwe BMW, Audi au Benz unaweza nunua mbichi kabisa kwa 16M au zaidi ukaisajili namba DXZ leo hii!

Kesho Tangaza unaiuza uone kama utapata mtu kakupa hela hio ni 12M! Gari ambayo jana we umeilipia zaidi ya 16M.

Tukikomaa na Toyota tunaonekanaga washamba ila kimsingi brand ya gari unalonunua ina matter sana. Leo hii utasema nanua siuzi ila keshokutwa limetokea janga huna options zaidi ya kuuza gari utafanyaje? IST mtu ananunua 13M anatumia miaka 7 anauza 9M tena habembelezi na akiitangaza asubuhi jioni inaweza isifike biashara inakuwa ishafungwa!

Umenunua gari 30M mwezi wa 11 unataka kuuza mwezi wa kwanza hata 15M tu hupati😅 si ukichaa huo!
Binafsi mm ni mapenzi sana wa gari za ulaya ila nakubaliana na wewe ndio maana kwangu lazima kuwe na toyota.

Naiamini zaidi TOYOTA si kwenye kuuzwa bali hata safarini. Mfano range ni zuri hapa mjini lina status yake na sijui kwa nini ila lina influence sana unapokutana na mtu kufanya biashara mara nyingi inawork endapo unayetaka kufanya nae biashara ataona usafiri wako....... SIJAJUA NI KWA NINI.

ila ukisafiri nalo fuse tu ikikata unalala ilipozimikia.
 
Toyota ni gari ambayo ilitengenezwa kuhakikisha unatoka point A to B bila matatizo! It won’t break even in very tough terrains. Wajapani hasa Toyota kwenye precision nawakubali kwa kweli! Yani gari iko as practical as it should iwe kwa jua au mvua!

Hawaku focus kuweka so much Gizmos in the car kiasi kwamba zitamletea shida mtumiaji! Ndio maana wanaonekana wapo behind the Europeans makes interms of technology adoption...they take time kuhakikisha hizo teknolojia wakiweka hazitaleta complication.
 
Kusema ukweli Toyota ni gari ngumu sana nina Corolla G haijawai niangusha huu mwaka wa 7 na bado inadunda tu!
b891dbb0-5529-4b79-a27f-da75acabaf40.jpg
 
Kusema ukweli Toyota ni gari ngumu sana nina Corolla G haijawai niangusha huu mwaka wa 7 na bado inadunda tu!View attachment 2039006
Mkuu mie pia nali toyota naburuza na haya mamvua madimbwi kibao nawaza je ingekuwa BMW si ningekuwa nishanunua mwamvuli sahizi😅 natembea nao.

That rig wont break inanisevu sana na still inadai service kuna bush imechoka on the right front wheel inagonga ila it keeps going anytime from now ntabadilisha. Sina presha maana haitatokea gari igome kwenda.

Ukiangalia namba A corrolla zimefubaa mabodi ila gari ikiwashwa ni jino moja tu😅. Ntaftie BMW ambayo ilinunuliwa same year na Corrolla mbona hatuzioni barabarani?
 
Kusema ukweli Toyota ni gari ngumu sana nina Corolla G haijawai niangusha huu mwaka wa 7 na bado inadunda tu!View attachment 2039006
Halafu service zake haziumizi kichwa hata kama ni mtu wa kuingiza laki 2/3 frequently yani ukikamilisha service kanadunda tu kenyewe hakanaga shida😅

Kubwa zaidi hako kagari hapo siku ukikwamba hutakosa mil 8.5 ya haraka kanashikilia bei muda mrefu sana kama premio tu!
 
Halafu service zake haziumizi kichwa hata kama ni mtu wa kuingiza laki 2/3 frequently yani ukikamilisha service kanadunda tu kenyewe hakanaga shida

Kubwa zaidi hako kagari hapo siku ukikwamba hutakosa mil 8.5 ya haraka kanashikilia bei muda mrefu sana kama premio tu!

Mkuu uko sahihi kabisa!!!Yaaani kwenye service ni bei cheee tu hata ukipitiliza service hakina shida.nina bmw 1 series kaka oil filter tu elf 80!najuta kununua hii gari nimetafuta mteja bei hawafiki ila Corolla kila siku watu wanafika dau!
IMG_1638.jpg
 
Mkuu uko sahihi kabisa!!!Yaaani kwenye service ni bei cheee tu hata ukipitiliza service hakina shida.nina bmw 1 series kaka oil filter tu elf 80!najuta kununua hii gari nimetafuta mteja bei hawafiki ila Corolla kila siku watu wanafika dau!View attachment 2039078
Mkuu kwenye uhalisia huwa napenda kuwa muwazi tu japo wana wanaponda😅 mie mjerumani labda itokee tu ila huku Toyoda ndio home! Mjerumani nunua kama una hela za kuzidi ila kama raia wa kawaida usikimbilie humo!

Hio gari nimeona watu wameinunua sana yani sikujua ina nini special. Hebu nipe mazuri yake ukiachana na costly maintanance maana kama filter 80K ukinunua na Liqui Moly ya 120K manaake service ya oil na filter kila wakati ni 200K!
 
Toyota ni gari ambayo ilitengenezwa kuhakikisha unatoka point A to B bila matatizo! It won’t break even in very tough terrains. Wajapani hasa Toyota kwenye precision nawakubali kwa kweli! Yani gari iko as practical as it should iwe kwa jua au mvua!

Hawaku focus kuweka so much Gizmos in the car kiasi kwamba zitamletea shida mtumiaji! Ndio maana wanaonekana wapo behind the Europeans makes interms of technology adoption...they take time kuhakikisha hizo teknolojia wakiweka hazitaleta complication.
Upo sahihi sana.
 
Mkuu kwenye uhalisia huwa napenda kuwa muwazi tu japo wana wanaponda😅 mie mjerumani labda itokee tu ila huku Toyoda ndio home! Mjerumani nunua kama una hela za kuzidi ila kama raia wa kawaida usikimbilie humo!

Hio gari nimeona watu wameinunua sana yani sikujua ina nini special. Hebu nipe mazuri yake ukiachana na costly maintanance maana kama filter 80K ukinunua na Liqui Moly ya 120K manaake service ya oil na filter kila wakati ni 200K!
Umemshauri vizuri.
 
Back
Top Bottom