Habari wakuu, nimeona watu wengi sana wanaisifia hii gari lakini najiuliza kwanini haitumiki kwenye uber na Bolt ijapokuwa inatumia mafuta kidogo
Zipo ambazo zina engine Cc 1490 kama istCarina Ti inatumia mafuta kidogo ukilinganisha na gari gani?
Vingi Sana vina rangi ya silver na plate namba CWe kama umeipenda nunua tu Toyota.CARINA ni Gari ngumu sana kwenye magari madogo dogo.
Zipo ambazo zina engine Cc 1490 kama ist
Carina ti ni gsri very uncomfortable... Ina viti vipo chini sana.... Viti vipo chini kwa ajiri ya ku compensate head room.... Yaan utadhan unadumbukia..Habari wakuu, nimeona watu wengi sana wanaisifia hii gari lakini najiuliza kwanini haitumiki kwenye uber na Bolt ijapokuwa inatumia mafuta kidogo
Kwa hiyo probox inaweza kutumia mafuta vizuri zaidi ya carina TI kutokana na teknolojia iliyotumika humo?Injini ya carina ya cc 1490 na injini ya ist ya cc 1490 zinatofauziana ulaji wa mafuta.. sababu hasa ni mfumo wa VVT-I
Gari za wastafuHabari wakuu, nimeona watu wengi sana wanaisifia hii gari lakini najiuliza kwanini haitumiki kwenye uber na Bolt ijapokuwa inatumia mafuta kidogo
Ongezea na Toyota Sprinter...We kama umeipenda nunua tu Toyota.CARINA ni Gari ngumu sana kwenye magari madogo dogo.
Inategemea mazee kama yeye mishe mishe zake ni huko RUKOMA Wilaya ya Uvinza, Kigoma na kuja Town ni karibia Km 300 za vumbi kwa nini asijadili Carina? Mnadhani watu wote wanaishi Magomeni, Mburahati (Dar) au Kihonda kwa Chambo (Morogoro)??Hii sio miaka ya kujadili carina mzee..!
Si bora probox sasa... Tatizo haujanielewaInategemea mazee kama yeye mishe mishe zake ni huko RUKOMA Wilaya ya Uvinza, Kigoma na kuja Town ni karibia Km 300 za vumbi kwa nini asijadili Carina? Mnadhani watu wote wanaishi Magomeni, Mburahati (Dar) au Kihonda kwa Chambo (Morogoro)??
igogondwa soma hii, hapa nadhani utanielewa nilichomaanishaHuko ni kukariri tu carina kwa sasa ni gari iliyopitwa na muda ,kuna gari ambazo zinafuel consuption nzuri zaidi ya Carina , Tubadilike acha kukariri zama zimebadilika
sent from HUAWEI
Na mm nawashangaa mkuuHuko ni kukariri tu carina kwa sasa ni gari iliyopitwa na muda ,kuna gari ambazo zinafuel consuption nzuri zaidi ya Carina , Tubadilike acha kukariri zama zimebadilika
sent from HUAWEI
Yani ni uzembe wa hali ya juu sana kujadili Carina Ti/ Rav 4 Old model 1990!Habari wakuu, nimeona watu wengi sana wanaisifia hii gari lakini najiuliza kwanini haitumiki kwenye uber na Bolt ijapokuwa inatumia mafuta kidogo