Naombeni Mrejesho kwanini watu wanaisifia sana Carina TI?

Zina Cc sawa na IST lakini hazina hazina engine sawa.

Hiyo engine ya IST kwa Cc hizo inatumia mafuta vizuri kuliko ya carina sababu ya technology mbalimbali ambazo ni za kisasa zilizopo kwenye IST.

Kuna IST zinakupa mpaka 18km kwa lita. Kitu ambacho huwezi pata kwenye Carina.
Hakuna Carina yenye CC sawa na IST.

IST ni cc 1250
Carina ni cc 1490,1790,1998
 
Hakuna mahali nimeandika Carina ina 1NZ.

Carina zipo zenye

4a ge Carina GT Cc1650 kama sijakosea.

5a fe Carina TI Cc1490

7a fe Carina SI Cc1790
Kwa kuongezea kidogo, Kwa Toyota Carina za miaka ya karibuni

  • Toyota Carina Ti 2000cc engine 3S-FE -Petrol
  • Toyota Carina Ti 2200cc engine 3C-TE Turbo -Diesel
 
Wewe ni mgeni Sana wa magari.
IST za 1490 cc zipo mpaka za 1790 zipo.
Ndio maana unaweza kuta IST no. C inauzika kwa mpaka m7.
Carina inafungwa 5A au 7A engine. 5A ndio1490 cc
7A 1790 cc
In addition, Hapo kwenye carina matoleo ya karibuni Maximum displacement ni 2200cc Turbo na ya chini yake kidogo inatumia 3S-Fe
-Haya matoleo mawili ya carina yanatumika sana kusafirishia magendo hapo mbweni
 
Back
Top Bottom