Naombeni Mrejesho kwanini watu wanaisifia sana Carina TI?

Hahaha we jamaa ni mjinga sana.😂😂

Kwa hiyo ukiendesha murano unaingia period sio? Gari hazina jinsia mkuu we endesha hata nissan fairlady hakuna tatizo.
Siwezi endesha hizo gari man😅 hasa kwa kununua! Kuna bitch wangu ana Murano niliendesha for a while ila ni sababu akiwa bwax anakuwa reckless😅huwa namuweka kushoto!
 
Hahahahaha

Sasa ulipoendesha ikawaje? Ulijisikia utofauti wowote? Acha hizo😂😂😂😂😂😂.

Tena ww inatakiwa serikali iingilie kati ulazimishwe kuendesha Murano ya Pinki mwaka mzima.
 
Kuna Murano ya pinki inazunguka mitandaoni kusaka mteja tena ni namba D kabisa ilianza million 9 naona ishafika 6.5m na hamna mtu anaitaka😅
 
Kuna moja iliuzwa 3m safiiii, shekhe mmoja analo mpaka leo anadunda nalo mjini ukikutana naye utajua kanunua m20.....

Hizi gari hazina re-sale value. Nunua ili utumie sio uuze. Mm ni shabiki wa watunza magari ila ukweli na uhalisia ni kuwa hazina resale value.

Rav 4 massawe namba C utaiuza kila baada ya mwaka kwa bei ya 9-10m ila Murano mpyaaa ukishanunua kila mwaka utakapoiuza inakata 3-4m
 
Hahahahahahah sio Murano tu hata gari yeyote ya ulaya😅 iwe BMW, Audi au Benz unaweza nunua mbichi kabisa kwa 16M au zaidi ukaisajili namba DXZ leo hii!

Kesho Tangaza unaiuza uone kama utapata mtu kakupa hela hio ni 12M! Gari ambayo jana we umeilipia zaidi ya 16M.

Tukikomaa na Toyota tunaonekanaga washamba ila kimsingi brand ya gari unalonunua ina matter sana. Leo hii utasema nanua siuzi ila keshokutwa limetokea janga huna options zaidi ya kuuza gari utafanyaje? IST mtu ananunua 13M anatumia miaka 7 anauza 9M tena habembelezi na akiitangaza asubuhi jioni inaweza isifike biashara inakuwa ishafungwa!

Umenunua gari 30M mwezi wa 11 unataka kuuza mwezi wa kwanza hata 15M tu hupati😅 si ukichaa huo!
 
Hahahahahahah sio Murano tu hata gari yeyote ya ulaya iwe BMW, Audi au Benz unaweza nunua mbichi kabisa kwa 16M au zaidi ukaisajili namba DXZ leo hii!

Kesho Tangaza unaiuza uone kama utapata mtu kakupa hela hio ni 12M! Gari ambayo jana we umeilipia zaidi ya 16M.

Tukikomaa na Toyota tunaonekanaga washamba ila kimsingi brand ya gari unalonunua ina matter sana. Leo hii utasema nanua siuzi ila keshokutwa limetokea janga huna options zaidi ya kuuza gari utafanyaje? IST mtu ananunua 13M anatumia miaka 7 anauza 9M tena habembelezi na akiitangaza asubuhi jioni inaweza isifike biashara inakuwa ishafungwa!

Umenunua gari 30M unataka kuuza hata 15M tu hupati si ukichaa huo!
 
Back
Top Bottom