Naombeni Mnishauri jamani hali tete kiuchumi

CreatureKH

Member
Joined
May 14, 2021
Posts
42
Reaction score
88
Jamani naombeni kujua na mnishauri Mimi nimesoma Nursery teaching lkn nimepata connection ya kazi ya store keeper kiwanda flani ivi nimeambiwa nikaanze Jumatano

Nauliza je huko nitakua natumia computer maana sijui hata kutumia computer mwenzenu na naihitaji hiyo kazi muda huu kuliko chochote yani, nalea nna mtoto mdogo naona kabisa ugumu wa maisha utaathiri malezi ya mwanangu (sio single mom)

Je, niiache hii kazi au nijikaze tu liwalo na liwe nitajua huko huko nikifika??
Maana wenyewe mnajua sisi mshahara wetu umezidi umezidi 300k😫 ila kulipwa laki na nusu hiyo ni kawaida kabisa
 
Computer short course wiki mbili si unatumia hizo program za maofisini?

Hakuna maajabu yoyote.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom