wakuu wangu nyote mlionitagulia, kwa nidhamu zote naomba mwongozo wenu pale mtakapoona nauhutaji/nitakapoomba.
I really need your cooperation..................
karibu jamvini...
Jf inahitaji uvumilivu.. anza mdogomdogo chit chat.. then nenda MMU... jukwaa la siasa nakushauri soma nyakti kwanza kabla ya kubwaga lolote lililopo kichwani mwako kwa ufupi na kwambia FIKIRIA!