Mkuu sasa,unasubir nini kutumia fursa au nafasi hyo.maana kama ni kwel wateja wapo,wew ongea na jamaa muwe kam muunganiko ila kila m2 na biashar ake.
So unakuwa pembeni yake tu hapo na jiko lako na unapanga bei yako then wa chpsi anamwandalia mteja pamoja na mishkaki yako uloandaa then biashar inafanyika vizur kabisa,mana hata haihitaji pesa ming.
andaa nyama yako weka viungo muhimu kama tangawizi limao na chumvi kisha weka wisk aina ya grants na konyagi kisha iweke juani kwa muda then jiandae kwa kuchoma.hata mim mwanzo ilikuwa changamoto kwangu lakini nilienda sehem nkala nyama choma tamu sana nlipoouliza ndo wakanialika wakat wa matengenezo nkashihudia...na nyama inakuwa haina hata uchungu....
Nahitaji kuanzisha biashara ya mishikaki maeneo ya stand naomba kujua sehem ninayoweza kuwa napata nyama na pia sehemu wanapouza vijiti na bei zake na yoyote anijuze changamoto za hii biashara.
Nahitaji kuanzisha biashara ya mishikaki maeneo ya stand naomba kujua sehem ninayoweza kuwa napata nyama na pia sehemu wanapouza vijiti na Bei zake na yoyote anijuze changamoto za hii biashara