Naombeni mnieleweshe

Naombeni mnieleweshe

Hio inaitwa utoko kitaalamu. Hii ni sign kuwa mashine haijatumika muda mrefu.Utoko pia ni sign ya pH balance nzuri kwenye papuchi.

Sometimes wenye fungus pia hutoka fluid inayofanana na utoko ila ikikauka huwa kama mabaki ya machicha ya nazi kwenye mashine. Thats fungal infection, na inakuwa na harufu kama chuma.
True..
 
😂😂😂😂 Kumbe mzee mwenzangu eehhh...ila Mimi engine kufa kabisa..
Hio inapigwa overhaul kabisa mbona mashine inakuwa nzima kama vvt-i kabisa! Hizo ndio shuhuli zetu wataalamu wa uzazi. Usihofu!
 
Hio inapigwa overhaul kabisa mbona mashine inakuwa nzima kama vvt-i kabisa! Hizo ndio shuhuli zetu wataalamu wa uzazi. Usihofu!
😂😂😂😂😂 Mzee mwenzangu 🙌🙌🙌...niache niwashe ugoro kwanza
 
You need everything not something!
Kama hutajali nicheki P.M im having a Bachelors degree in Gynaecology & Sexual Pleasures. Njoo nikupe mafunzo kwa vitendo.
Mkuu..na Mimi nakuja..hiyo degree unayo we Tz nzima
 
Hayo mapya si ufundushe tu vijana Jamani...mie nimejitoshea na uzee huu😎
Vijana wamezidi ujuaji acha wakaangukie pua kwanza. Watarudi kwa adabu. Mtu anaitwa mapokezi anatuma mikono 🙏 kweli...Sa ntamtibuje!?
 
Vijana wamezidi ujuaji acha wakaangukie pua kwanza. Watarudi kwa adabu. Mtu anaitwa mapokezi anatuma mikono 🙏 kweli...Sa ntamtibuje!?
😂😂😂😂 Ungeendelea kumchombeza angekuja tu..
 
Hahahah ugoro unaujulia wapi wewe hebu wacha kunchuuza hapa😂😂😂 we washa gesi tule ugali mida ya lunch inakaribia hii.
🤣🤣🤣🤣 Extro wewe...hakipikwi kitu leo mzee mwenzangu
 
🤣🤣🤣🤣 Extro wewe...hakipikwi kitu leo mzee mwenzangu
Kwahio leo tutakula story tu mzee mwenzangu 😂!!! Acha uchoyo bana we wakati unaivisha mie nakutia vicheko,,,hebu tufanye huo mchezo wa kiutu uzima 😂
 
Back
Top Bottom