Ms R
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 10,644
- 23,273
ushanikwaza tayar,,umetaja shangaz nkajua umebadilika๐ซ๐ซ๐ถ๐พโโ๏ธMi mbona siku zote nipo hivo ms....
Sema mara moja moja shangazi atakagi niwe naamka na simu.
๐๐๐๐๐๐
ushanikwaza tayar,,umetaja shangaz nkajua umebadilika๐ซ๐ซ๐ถ๐พโโ๏ธMi mbona siku zote nipo hivo ms....
Sema mara moja moja shangazi atakagi niwe naamka na simu.
๐๐๐๐๐๐
Tigo wanaudhi sana ๐คฃ๐คฃ๐คฃSasa Tsh 64 unafanyia nini et ๐๐๐๐
Hahahaha ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐Yaaani wee acha now nimekua matured sifati mtu mpaka nihakikishe kwa kupitia nyuzi zake hata 5..
Kuna mmoja hivo hivo katika story mbili tatu kumbe ni fundi mafriji.
Nikawa najiuliza kweli fundi + mafriji alafu awe wa kike...
Nikajiongeza tu nikasema mwamba tupambane bana pesa haipatikan simple hivo kaka ๐๐๐๐๐๐
๐Daah shukran sana๐Tafuta thread ya miaka ya zamani huko hata 2008 huko ambazo hazina comments nyingi nyingi Mtag halafu muendelee Huko
๐๐๐๐๐๐ Wabaki na gawio lao tuuu .Tigo wanaudhi sana ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Weeeh hii achana nayo....Hahahaha ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
Shida ni pale utatongozza shemeji yako ama dada yako.Katika harakati za mitandaoni, unajikuta umemwelewa mdada/mwanamke hapa JF.
Humjui sura, umbo, wala tabia yake ila moyo unamkubali tu.
Unajiuliza nini hiki sasa.
Sio mbaya kujaribu pengine ikawa kweli.
Basi unajaribu kuzama PM unakuta imefungwa.
Kumuanzishia thread haijakaa poa.
Hapa najua kuna mavetelani kwenye hili swala.
Note: kama mambo yakienda vizuri, sito mchezea.
Naachaje na imenitekenya๐๐๐๐๐Weeeh hii achana nayo....
Mbona unacheka kwa sauti hivo ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐
๐๐๐๐ฅบ๐ฅบ๐ฅบ Kama tunachekana takua sitoi visa humu ndani ujueNaachaje na imenitekenya๐๐๐๐๐
roho mbaya ata haikupendez mbon pua bureini๐๐๐๐ฅบ๐ฅบ๐ฅบ Kama tunachekana takua sitoi visa humu ndani ujue
Nipe mwongozo mkuu, fafanua zaidi hii mbinu nimeijaribu sana hata kama kaandika pumba nalike tu๐คฃSikiliza kwa makini mbinu zitolewazo na k, kama ni pepa limevuja hilo.....
Kuna likes za watu ni sumaku๐
Upo katika hatua nzuri ya kutongoza jitahidi kijana.....Nipe mwongozo mkuu, fafanua zaidi hii mbinu nimeijaribu sana hata kama kaandika pumba nalike tu๐คฃ
Kwaiyo niendelee kushusha like tu nikisubiri miujiza?Upo katika hatua nzuri ya kutongoza jitahidi kijana.....
Likes, zoea....zama pm.Kwaiyo niendelee kushusha like tu nikisubiri miujiza?
Et niambie mahi ๐๐Ushapewa mbinu.....mie nakupa nyongeza tu ukishapata chance ya kufika pm ingia na miguu miwili salimia, jitambulishe sema nia yako.
Sio unaenda pm vipi my niambie, sa uambiwe nini?? Kakuambia anataka kukwambia kitu?? We mwenye nacho ndio useme.
Au salamu nyiiiiingi, mambo, unajibiwa poa, za huko.....huku wapi???!!!
Ww shangazi usinizooee nilikua nakupima tu jf hakuna pisi ya maana ๐คฃLikes, zoea....zama pm.
Ukichoka lete jina nkutongozee
Nakupa jina sasa hivi maana hii imezidi sasa ๐๐ฅบ๐๐๐๐Likes, zoea....zama pm.
Ukichoka lete jina nkutongozee
Daaaah nimelia sana kwahiyo pisi za humu ni ng'ombe tuWw shangazi usinizooee nilikua nakupima tu jf hakuna pisi ya maana ๐คฃ