Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,012
- 95,358
Sio coinciedence kabisa... ulivyoelewa that is the way it is....
Alafu babu mbona nimepost kuhusiana na shosti wa cheusi... au hujapenda...lol
Ule ujauzito uliku kweli wa mtoto mmoja, ila tu mtoto ka evolve from Asha D to Ashadii...
Naomba matambiko yafanye haraka, na ripoti naleta haraka saaana..
na namba za simu nisha pm...lol
Sasa babu ameshaelewa.........babu ni slow learner ujue...:cool2::cool2:
Haya ukuje na ripoti moja kwa moja chumbani huku..... kumbe ulishafanyiwa tambiko wewe.....
Siku nyingine ukivunja ungo bila kumtaarifu babu, ntakubwenga makwenzi...
Now...back to topic.......... Nakutuma umwambie Cheusie naye akamwambie shosti wake kuwa amwambie kaka A kuwa anampenda kaka B ili maisha yasonge mbele....mwambie maisha haya ni mafupi sana, hatupaswi kuumiza nafsi zetu, chagua ile kitu roho inapenda bana. Atii kiu yake, avunje UKIMYA.........Usisahau kumwambia kuwa ushauri wa babu NI AMRI!