Naombeni mawazo yenu jamani JF

Pole sana kaka/dada Shalis........

Nakushauri punguza kwanza munkari manake naona kama una mumnkari mpaka basi........

Ningekupa ushauri kama ningejua we ni mtoto wa kiume au wa kike...
mimi ni mtoto wa kike wa pili nina dada na wadogo zetu ni wakiume wawili anaye nifuat form four na last born form two
 
Kwanza unatakiwa ufahamu kuwa kitu cha baba/mama sio cha watoto,watoto mnatakiwa mtafute vyenu,huna haja ya kuchanganyikiwa,hiyo mali sio yako,umekuwa na unafanya kazi,malizia nyumba mnayojenga mkae kwa amani kwenu,furaha yako ni pale utakapokuwa na kwako na sio kwa baba au mama!
 
Wazazi waligombana ,mama akadai talaka yake at the time wamegombana baba alichukua uamuzi wa kuhama nyumbani na kwenda kuishi kwingine. Sisi (4 child)tulibaki na mama nyumbani,mama alienda mahakamani kufungua kesi akidai apewe sehemu ya mali (maana kugawana nyumba na eneo )kesi ikiendelea mimi na dada yangu mungu akasidia tukapata kazi kwa hivyo tukachukua jukumu la kujenge sehemu nyingine(kwanza tuliona ile nyumba ni ya zamani na kunamgogoro) ambapo kile kiwanja alikuwa amekinunua mama long time ago at the same time tukiwa sapport wadogo zetu wawili masomo na malezi kwani mama aliacha biashara na baba alikuwa haleti mahitaji home (lastborn kwa sasa yupo form 2)
Siku zina kwenda nyumba tunayojenga ipo kwenye finishing na wakati huo huo mama naye anakazana na kesi yake mahakamni .Hukumu imetoka kuwa lile eneo ambalo wazazi walijenga pamoja na nyumba linauzwa .
Ninamawazo sana kwa kweli naombe ushauri wenu nifanye nini maana je mahakama haikuangalia watoto?na je kwa sasa watoto kwao ni wapi? Kweli uwezekano wa kuishi na kuwatunza wadogo zetu tunao ila where is our home?
Je mama yupo sahihi at the time sisi tumesha muamdalia makoa mapya na waogo zetu tuna wajali kwa nguo mpaka ada? Kwa nini ameshinikiza hilo ? Inaniuma mno siwezi kufanya kazi vizurikwa siku ya leo naombeni japo mawazo how can I handle this situation ??

Pole sana Shallis,

Sasa Mahakama imeshatoa maamuzi na inaonekana mama yenu karidhia....
Hebu ngoja wataalamu waje watoe ufafanuzi hapa aisee...
 
Kwanza unatakiwa ufahamu kuwa kitu cha baba/mama sio cha watoto,watoto mnatakiwa mtafute vyenu,huna haja ya kuchanganyikiwa,hiyo mali sio yako,umekuwa na unafanya kazi,malizia nyumba mnayojenga mkae kwa amani kwenu,furaha yako ni pale utakapokuwa na kwako na sio kwa baba au mama!
asante kwa ushauri umenipa ujasiri wa kusonga mbele
ila why sisi mmh mbona some of the parents make for their childrens
inamaana we dont mean anyting for them
 
asante dear, yaani hata mpaka nakonda ukizingatia all i make for the job ni kusaidia home na mimi hata siendelei then home kwenyewe wzazi hawapo sawa its real frustrating hata sijui mungu tu ahusike

Shalis..
  • Jaribu kutenganisha maisha ya wazazi na yale ya kwenu.. Ni vitu viwili tofauti...Maisha ya wazazi ni ya wazazi..Maisha yenu ni yenu .. Mali ni majaliwa na kwa kiasi fulani si upendo wala maisha..
  • Mshukuru Mungu na wazazi kwa yote..hasa vile kwa sasa mnajiweza kwa kiasi hata cha kuchukua majukumu ya wadogo zenu.. Msiingilie ugomvi wao na wala msiwahukumu kwa maamuzi yao labda tu kama yataleta madhara au vitisho kwa maisha na afya zao.
  • Muwachie Mahakama iamue kati ya Baba na Mama. Na wao wenyewe kwa utashi wao bila ya kuwashirikisha ninyi wakubaliane na maamuzi hayo.
  • Jaribu kujenga scenario ya kinadharia au kufikirika kama vile mmekulia katika mazingira ya kutokuwa na wazazi..bila Mali..yeyote na mmeanza maisha.. with nothing... ni fikra tu..inaweza kukusaidia kukupa amani..
  • Mshauri Mama ..hata na Baba (yahitaji moyo) ...kuwa mnawapenda na mko kwa ajili yao..kama hawatasikia msijali kwani ni dalili matatizo yako ndani ya uwezo wao..yakizidi watarudi kwenu kwani mikono yenu iko wazi..
  • Mwisho ..uwe na Amani kwani hamko peke yenu kwenye issue kama hizi..tupo watoto wengi ambao tumenaswa na issue kama hizi ..lakini bado tuko ngangari na tabasamu tele..kwani tumezipa kisogo..issue na mali za wazazi nasi ..tunachacharika wenyewe..na tunaendelea kuheshimu hao wazazi..bila kushiriki kwenye ugomvi wao na mali zao..
 
mimi ni mtoto wa kike wa pili nina dada na wadogo zetu ni wakiume wawili anaye nifuat form four na last born form two
Waandikie mods kwa: Support@jamiiforums.com waihamishie hii thread jukwaa la sheria. kule utapata mawazo na ushauri mzuri wa wataalam wa sheria.

Ila mimi kama mimi........ kama uwezo wa kujenga ninao, siwezi kujisumbua kuhangaikia nyumba ya wazazi. Malizia nyumba yako ishi maisha yako..... kuna watu wengi tu humu ambao wazazi wao hawakuwa na uwezo wa kujenga hata kachumba kamoja. Lakini wamepigana na wamejijengea zao na kuwajengea wazazi wao. Kutegemea vitu vya wazazi ni uzembe na kuwa na mawazo tegemezi.......

Pambana na maisha yako, waache wazazi wamalizane na yao!
 
Kwanza unatakiwa ufahamu kuwa kitu cha baba/mama sio cha watoto,watoto mnatakiwa mtafute vyenu,huna haja ya kuchanganyikiwa,hiyo mali sio yako,umekuwa na unafanya kazi,malizia nyumba mnayojenga mkae kwa amani kwenu,furaha yako ni pale utakapokuwa na kwako na sio kwa baba au mama!

Kweli kabisa, kwa kesi hiyo watoto hawana chao.
 
asante kwa ushauri umenipa ujasiri wa kusonga mbele ila why sisi mmh mbona some of the parents make for their childrens inamaana we dont mean anyting for them
We are!But not that much!Kama waweza kununua viatu vyako ya nini uvae vya mtu?Usife moyo!Anaekupa pumzi na mahitaji yako mengine anajua hitaji lako nawe pia!
 
Shalis..
  • Jaribu kutenganisha maisha ya wazazi na yale ya kwenu.. Ni vitu viwili tofauti...Maisha ya wazazi ni ya wazazi..Maisha yenu ni yenu .. Mali ni majaliwa na kwa kiasi fulani si upendo wala maisha..
  • Mshukuru Mungu na wazazi kwa yote..hasa vile kwa sasa mnajiweza kwa kiasi hata cha kuchukua majukumu ya wadogo zenu.. Msiingilie ugomvi wao na wala msiwahukumu kwa maamuzi yao labda tu kama yataleta madhara au vitisho kwa maisha na afya zao.
  • Muwachie Mahakama iamue kati ya Baba na Mama. Na wao wenyewe kwa utashi wao bila ya kuwashirikisha ninyi wakubaliane na maamuzi hayo.
  • Jaribu kujenga scenario ya kinadharia au kufikirika kama vile mmekulia katika mazingira ya kutokuwa na wazazi..bila Mali..yeyote na mmeanza maisha.. with nothing... ni fikra tu..inaweza kukusaidia kukupa amani..
  • Mshauri Mama ..hata na Baba (yahitaji moyo) ...kuwa mnawapenda na mko kwa ajili yao..kama hawatasikia msijali kwani ni dalili matatizo yako ndani ya uwezo wao..yakizidi watarudi kwenu kwani mikono yenu iko wazi..
  • Mwisho ..uwe na Amani kwani hamko peke yenu kwenye issue kama hizi..tupo watoto wengi ambao tumenaswa na issue kama hizi ..lakini bado tuko ngangari na tabasamu tele..kwani tumezipa kisogo..issue na mali za wazazi nasi ..tunachacharika wenyewe..na tunaendelea kuheshimu hao wazazi..bila kushiriki kwenye ugomvi wao na mali zao..
TULIZO nasema asante kweli nilikuwa nimepanic sana na nikahisi kila ninacho waza ni tatizo juu ya tatizo asante sana sana umenipa mawazo mazuri na i will work on that,
asante sana
 
We are!But not that much!Kama waweza kununua viatu vyako ya nini uvae vya mtu?Usife moyo!Anaekupa pumzi na mahitaji yako mengine anajua hitaji lako nawe pia!
Najua bwana atafanya njia palipo pagumu na hata hivyo ameonekana katika maisha yangu it was so hard to be here ni kwa wezo wake
asante san kwa mawazo yako mungu akubariki
 
Shalis, heri nusu shari kuliko shari kamili. Leo hii unaona hiyo nyumba nanyi mna haki nayo. Ipo siku ninyi watoto mtakuja toana macho nani iwe yake. Maana wote mtakuwa watu wazima na kila mmoja ataona anastahili kuliko mwenzie. Hiyo nyumba ni ya wazazi wenu wana haki ya kufanya uamuzi wautako juu yake. Kama mmeweza kusoma hata kuwasomesha wadogo zenu basi huo ni urithi wenu. Kama baada ya kuuzwa nyumba Mama ataamua kutafuta kwake kwa kutumia fungu lake, well and good. Otherwise mjiandae kumbeba na yeye. Na pengine ameridhia hilo kwa kujua mnapo pa kumtunzia.

Sidhani kama wazazi hawawajali, mara nyingine wazazi hujali mno watoto kiasi kwamba watoto hawajitumi kutafuta chao, huku ndiko kutowajali watoto.
 
Kweli kabisa, kwa kesi hiyo watoto hawana chao.
ni kweli KAtavi what is in my mind"we are not mean anything kwa wazazi wetu jamani mbali n ayote na upendo wetu kwao? tunawalisha wavisha watoto wa are helping them mpaka kuamua hivyo ...inauma ila asnte haya mungu amepanga yatukute asante kwa ushauri
 
Shalis, heri nusu shari kuliko shari kamili. Leo hii unaona hiyo nyumba nanyi mna haki nayo. Ipo siku ninyi watoto mtakuja toana macho nani iwe yake. Maana wote mtakuwa watu wazima na kila mmoja ataona anastahili kuliko mwenzie. Hiyo nyumba ni ya wazazi wenu wana haki ya kufanya uamuzi wautako juu yake. Kama mmeweza kusoma hata kuwasomesha wadogo zenu basi huo ni urithi wenu. Kama baada ya kuuzwa nyumba Mama ataamua kutafuta kwake kwa kutumia fungu lake, well and good. Otherwise mjiandae kumbeba na yeye. Na pengine ameridhia hilo kwa kujua mnapo pa kumtunzia.

Asante liz nafahamu kuwa wanatupenda,
mama kama nikivyosema tumeanzakujenga nyumba kwingine na ipo kwenye finishing ndogondogo tu so anytime atahamia
but umenishauri vyema asnte sana

Sidhani kama wazazi hawawajali, mara nyingine wazazi hujali mno watoto kiasi kwamba watoto hawajitumi kutafuta chao, huku ndiko kutowajali
watoto.

asante umenishauri vyema
 
ni kweli KAtavi what is in my mind"we are not mean anything kwa wazazi wetu jamani mbali n ayote na upendo wetu kwao? tunawalisha wavisha watoto wa are helping them mpaka kuamua hivyo ...inauma ila asnte haya mungu amepanga yatukute asante kwa ushauri
Shalis, wazazi wanajukumu la kuwasaidia watoto hadi miaka 18. Na kwa nchi fulani fulani mtoto akiwa na uwezo anatakiwa kumsaidia mzazi wake akianza kupata hela.
Na hadi sasa ndicho kinacho tokea: Wazazi waliwasaidia mkamaliza masomo. Kwa sasa wewe unauwezo kuliko mama na unamsaidia kuwalea ndugu zako. Ni sawa kabisa.
Sasa swala la nyumba hiyo ya zamani, kama walivo sema wengine ni Nyumba la wazazi na maybe wanahitaji hizo pesa watumie wanavo jua wenyewe.
All you can do ni kusema baada ya wenyewe kuuza nyumba watakua na pesa na kwa hivo sio lazima uendelee kuwasaidia katika kulea watoto wao (ila sita kushauri, ukianza kitu ni bora umalize na huyo last youko for 2 tayari).
 
dear unachosema ni sawa na si unajua mtu ukiwa na tatizo unaweza amua jambo mwishowe ukaona hauko au upo sawa kwa sababu ni mhusika,
kwa mimi nilikuwa nawaza kuwa i can still provide for my brother and not any of my parents more.yani hela watakazo zipata hapo wajihudumia am done with them
 
Inaonekana kwa namna moja ama nyingine mmejiingza kwenye ugomvi wa wazazi wenu na hilo ni kosa kubwa sana! Na kwa kiasi kikubwa mmekwishajiweka upande mmoja wa mzazi mojawapo hili nalo ni kosa kubwa la pili! Mungu awasaidie ...............mnahitaji maombi!
 
pole sana, labda kwa kuanzia ni kwamba ndoa au wanandoa wanapotengana na kugawana mali watoto huwa hawaangaliwi zaidi ya kuangalia ni jinsi gani ya kutunzwa watoto kama vile baba kutoa hela ya matumizi kwa kipindi watoto watakapokuwa wanaish na mama yao.. kwa hiyo hili suala mama yako wakati anaomba talaka na mgawanyo wa mali aliorodhesha nyumba (makazi) kama ni sehemu waliyyochuma wao wawili (mme na mke ) ndo maana mahakama imefikia maamuzi hayo. watotto kawaida huwa wanakuwa wahanga wa kuvunjika ndo kwani hubaki na majeraha zaidi
 
asnte kwa ushauri kweli ni wahanga maana ni hali ngumu ya kimawazo
imeshatokea na ndiyo hali halisi
 
Back
Top Bottom