Investaa
JF-Expert Member
- Jul 3, 2015
- 810
- 713
Habari wanaJF,
Kwenye hili jukwaa mm ni mgeni, ila kuna idea moja naomba niwashirikishe : jana kuna jamaa angu kaja na hii idea akanielezea akaniambia na mm niendelee kufikiria. Yaan ni hivi, tunataka tuanzishe STYLE CHALLENGE,
Yaan sisi tunakuwa na camera then tunakuwa tunapiga picha kwa wale wanaotaka kushindana na kila candidate anakuwa analipia form ya kuingia kwenye kinyang'anyiro(STYLE CHALLENGE). Na picha zote zinawekwa kwenye instagram kwa mapendekezo(LIKES).
Mwenye likes nyingi ndio atajishindia zawadi(Money). Tutakuwa na location maalum kwa ajili ya kupgia picha challenge ni mwenye kuweka poz litalowavutia wana Instagram na kuwa na Likes ndiyo mshindi.
Idea yangu na jamaa yangu imefikia hapo, kama unaweza saidia kuongezea tutashukuru. Asante