Duduwasha
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 5,701
- 3,664
toka jana ulimi unauma nakula kwa shida kwa ajili ya kidonda
Ebola hiyo haina maombi wala dawa utaondoka tu siku yako ikifika vumilia tu mateso ni sehemu ya maisha hayakwepeki
. Na ukikwepa kuna baya zaidi laja mshukuru Muumba kwa kila jambo