Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,495
- 145,862
I take that to be in the affirmative:majani7:hahahaaaa . Oh God.
I take that to be in the affirmative:majani7:hahahaaaa . Oh God.
hahaha. I knew you were high on something. Pass the puff and you just might get to smack away.
oh yeah. What are we wetting our throats with? A whisky?
Panganika vizuri,
Nunua na zawadi ya mtoto.
Alafu ukifika piga hodi hodi
Nimekuja kukutembeleni jirani yangu.
Cheza na mtoto, kwanza.
Piga nae story mbili tatu na mama mtoto
Msifie kuwa mtoto wake ni nzuri,
alafu sema lakini mimi naumiaga ninaposikia huyu mtoto analia,napatwa na uchungu, kwanini unampiga sana namna hii jamani?
Mtoto mali bwana, na kupiga si kufundisha ndugu yangu, bali ni kunyanyasa na anaweza kukuchukia ukubwani.
Huyo mama kalelewa kwa kubutuliwa, kwaiyo yeye wala haoni kosa.
watu waliolelewa kikatili hata wao ulea watoto wako kikatili pia
are you serious?jee ungekuwa na mtoto wa age hiyo ungeweza kumpiga mpaka akashindwa kupumua?huyo mzazi ni mkatili.Kupiga watoto ni utamaduni wa Mwafrika. Ndiyo njia madhubuti ya kumpatia na kumjengea nidhamu mtoto.
are you serious?jee ungekuwa na mtoto wa age hiyo ungeweza kumpiga mpaka akashindwa kupumua?huyo mzazi ni mkatili.
Kupiga watoto ni utamaduni wa Mwafrika. Ndiyo njia madhubuti ya kumpatia na kumjengea nidhamu mtoto.
How about I whoop yo azz:becky:
ukinidunda?thubutu,tutadundana.pumzi zitakuishia weweVipi nikikudunda wewe hadi ushindwe kupumua?:becky:
nshasikia njaa!lol hiki ni kiinglish cha kijijini kabisaaaa yani kile cha ndani!This is what I would do if I were in your situation. You might be able to bring up the child beating issue without your neighbors getting upset about you "meddling". I would simply pass by their place, introduce yourself as their neighbor, you could talk about church, the weather, or any other mundane things people talk about. Then ask about the kid, how old they are, and then mention you heard the kid crying and you were concerned that some other kids might be beating him because you don't see how an adult could possibly beat the child since they're way too young to be beaten like that. You could also mention that its probably against the law. They'll get the subtle message and will think twice about beating the child next time, knowing that you'll probably hear it all.
It's a long shot but I just might work. All the best!