Karucee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 18,196
- 34,502
Habari za jioni wana JF wenzangu. Swali hili naomba kuuliza kabla ya kumfata jirani yangu nijaribu kuongea nae kulingana na ushauri mutakaonipa.
Jirani yangu ana housegirl ambae ana mtoto mdogo hajaanza hata kuongea. Sasa basi akianza kumbutua huyo mtoto huwa hadi roho yangu inauma. Mtoto atalia mpaka he cannot breathe. Hivi ni kosa gani linaloweza kumfanya mzazi afikie kumchapa mtoto wake kiasi kile kwa umri ule?
Mie kwa kweli uvumilivu unaelekea kunishinda. Nataka nimfate jirani. Najua atanishangaa sababu kwanza sina mazoea hapa mtaani zaidi ya salamu. Pili nitakuwa naingilia maisha yake. Ila jee? Akija kumuumiza huyo mtoto mie nitaishije nikijua I might have prevented it? Nifanyeje waungwana?