xbin40
Member
- Mar 14, 2025
- 69
- 76
Kwa mfano kesho trh 12 June 2025 vijana waliochanguliwa polisi wanatakiwa kureport katika shule ya mafunzo ya polisi pale moshi, nina mwanangu anavigezo na hakubahatika kuchaguliwa, je nikisema nimnunulie requirements zote zinazohtajika waliorodhesha polisi then na yeye akaungane na hao wanaotakiwa kureport je atafukuzwa kambini? Au watampuuza na kumpokea kama mzalendo?
NB: Baada ya vijana kureport makambini kuna baadhi huwa hawafiki na hivyo kupungua idadj ya wanaohtajika.
NB: Baada ya vijana kureport makambini kuna baadhi huwa hawafiki na hivyo kupungua idadj ya wanaohtajika.