Naombeni kuuliza waungwana

Naombeni kuuliza waungwana

Mkuu.. Ingekuwa ni rahisi ivo basi kila aliependa kutumikia kitengo icho kwa uzalendo kabisa angekuwa anajipeleka..ndio maana kuna kuchaguliwa... 😂😂😂😂 Mpeleke tu akale tifu🤗🤗🤗
Mbn JKT mujibu wa Sheria huwa wanapokea ata vijana ambao hawakuchaguliwa kutoka shuleni? ilimradi tu uwe na sifa.! (Uwe umefanya mitihan ya six )
 
Kwa mfano kesho trh 12 June 2025 vijana waliochanguliwa polisi wanatakiwa kureport katika shule ya mafunzo ya polisi pale moshi, nina mwanangu anavigezo na hakubahatika kuchaguliwa, je nikisema nimnunulie requirements zote zinazohtajika waliorodhesha polisi then na yeye akaungane na hao wanaotakiwa kureport je atafukuzwa kambini? Au watampuuza na kumpokea kama mzalendo?

NB: Baada ya vijana kureport makambini kuna baadhi huwa hawafiki na hivyo kupungua idadj ya wanaohtajika.
Ungeuliza Kwanza kwanini alikosa vigezo vya kukubaliwa kwenda kozi ya upolisi. Kule wanapima vitu vingi Sana Hadi dalili za ushoga wanaangalia.
Wenye vigezo wasipokwenda siyo sababu ya kupokea waliokataliwa vinginenyo kulikuwa hakuna haha ya usaili, wangesema tuu atakayewahiiii!
 
Hawatampokea, wanaokwenda wapo kwa idadi iliyokusudiwa, pia kabla ya kuingia makambini Kuna orodha ya majina getini kulingana na mikoa wanayo toka kwa idadi Yao! Ushauri wangu ni kwamba kama unampigania kijana wako basi nendanae ukifika kule muache sehemu hrf nenda wewe CCP omba kuonana na mkuu wa mafunzo /mkuu wa chuo inakupasa uvae busara Sana Bila kuteteleka ongeanae mpaka hatua alizofikia kijana wako. Imani yangu ni kwamba kipo utakachokiambulia ukumbuke hata huyo mkuu wa mafunzo ni mzazi kama wewe ukiacha porojo za mitandaoni jeshi la polis ni binadamu.
 
Sawa mwamposa bila shaka ww ndiye mwamposa ambae watu wengu tunamfahamu, NAOMBA UFANYE JAMBO MKUU.
 
Hawatampokea, wanaokwenda wapo kwa idadi iliyokusudiwa, pia kabla ya kuingia makambini Kuna orodha ya majina getini kulingana na mikoa wanayo toka kwa idadi Yao! Ushauri wangu ni kwamba kama unampigania kijana wako basi nendanae ukifika kule muache sehemu hrf nenda wewe CCP omba kuonana na mkuu wa mafunzo /mkuu wa chuo inakupasa uvae busara Sana Bila kuteteleka ongeanae mpaka hatua alizofikia kijana wako. Imani yangu ni kwamba kipo utakachokiambulia ukumbuke hata huyo mkuu wa mafunzo ni mzazi kama wewe ukiacha porojo za mitandaoni jeshi la polis ni binadamu.
Shukrani sana kiongozi
 
Kwa mfano kesho trh 12 June 2025 vijana waliochanguliwa polisi wanatakiwa kureport katika shule ya mafunzo ya polisi pale moshi, nina mwanangu anavigezo na hakubahatika kuchaguliwa, je nikisema nimnunulie requirements zote zinazohtajika waliorodhesha polisi then na yeye akaungane na hao wanaotakiwa kureport je atafukuzwa kambini? Au watampuuza na kumpokea kama mzalendo?

NB: Baada ya vijana kureport makambini kuna baadhi huwa hawafiki na hivyo kupungua idadj ya wanaohtajika.
Yeye ni kuruta kutoka wapi?
 
Yes sio wote uriopoti! Inawezekana japo Wana utaratibu wa kuita wengine ambao wapo reserve kama wahusika A awajafika wanakuwa na List B.pale CCP unaweza pata bahati hiyo so better try🙏
 
Mbn JKT mujibu wa Sheria huwa wanapokea ata vijana ambao hawakuchaguliwa kutoka shuleni? ilimradi tu uwe na sifa.! (Uwe umefanya mitihan ya six )
JKT kumbuka kuna wakujitolea pia.. Ndio maana ni rahisi kwao.. Tofaut na uko unapotaka
 
Moja ya kazi za kipumbavu nilizowahi kufanya nchi hii ni kuajiriwa na Jeshi la Polisi Tanzania,namshukuru Mungu nilikuja kuacha kwa kutoa notisi ya masaa 24
 
Back
Top Bottom