Naombeni kukaribishwa jukwaani

roselyn2

Member
Joined
Jun 7, 2022
Posts
86
Reaction score
390
Natumai nyote mu wazima


Nimevutiwa sana na mtandao huu pendwa wa jamii forums, leo nimeamua kujiunga na chama rasmi. Naombeni kukaribishwa na kupokelewa kama mwanachama hai, natumai sintowaangusha


Napenda sana na nnavutiwa na jukwaa la jokes na MMU, Nina mengi ya kuwaeleza


Utaratibu uko vipi humu ndani?

Nawapenda nyote


 
Hio minofu kwenye DP ni yako?

Anyways... karibu JF
 
Karibu sana jukwaa la Wakubwa hapa!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…