ni vigezo gani moderators wanatumia kunibania baadhi ya posts.??????
Nawasilisha.
hubby mzima wewe leo?? mbona sikusomi??Wana jamvi hebu nisaidieni hapa nimepokea ujumbe huu muda si mrefu nimeshindwa kujua kama ni matapeli au vp'kwa sababu sijashiriki bahati nasibu yeyote
MOI
YOUR MOBILE NUMBER HAS BEEN WON 1,000,000 POUNDS FROM BLACKBERRY UK,KINDLY CONTACT DR GEORGE IMMEDIATELY ON bbuklive@w.cn TO REDEEM
Mwezi july nlipokea msg kama hiyo hii hapa chini ila sijaijibu chochote
YOU GSM NUMBER HAS WON 1,000,000 GBP IN ESPN STAR CRICKET 2012,FOR CLAIM,SEND YOUR NAME,ADDRESS,MOBILE NUMBER,AGE,TO US VIA EMAIL: espnoffice@espncrickets.com
Hebu wataalam wa mambo hayo nijuzeni
NB: sipo Tz naishi Middle east
Wana jamvi hebu nisaidieni hapa nimepokea ujumbe huu muda si mrefu nimeshindwa kujua kama ni matapeli au vp'kwa sababu sijashiriki bahati nasibu yeyote
MOI
YOUR MOBILE NUMBER HAS BEEN WON 1,000,000 POUNDS FROM BLACKBERRY UK,KINDLY CONTACT DR GEORGE IMMEDIATELY ON bbuklive@w.cn TO REDEEM
Mwezi july nlipokea msg kama hiyo hii hapa chini ila sijaijibu chochote
YOU GSM NUMBER HAS WON 1,000,000 GBP IN ESPN STAR CRICKET 2012,FOR CLAIM,SEND YOUR NAME,ADDRESS,MOBILE NUMBER,AGE,TO US VIA EMAIL: espnoffice@espncrickets.com
Hebu wataalam wa mambo hayo nijuzeni
NB: sipo Tz naishi Middle east
hubby mzima wewe leo?? mbona sikusomi??
Dah ukiwa na tamaa mara moja wanakuliza hawa jamaa' lakini je hawa jamaa wanashirikiana na makampuni ya simu? Kwa sababu msg wameonitumia leo haina namba ila imeandikwa MOI sijaelewa ni kampuni au nini?ushachanganya desa...hii post si umeiweka kwenye ule uzi mwingine, naona uzee unakupa tabu Asprin
ni vigezo gani moderators wanatumia kunibania baadhi ya posts.??????
Nawasilisha.
Dah ukiwa na tamaa mara moja wanakuliza hawa jamaa' lakini je hawa jamaa wanashirikiana na makampuni ya simu? Kwa sababu msg wameonitumia leo haina namba ila imeandikwa MOI sijaelewa ni kampuni au nini?
ooh! mkuu Aspirin, hebu check mahali unapotuma hizi post...sijui wapi unapokosea naona waendeleza story ya Ngongoseke..hili jukwaa jingine huku
Jaribu kuhakiki lugha uliyoitumia, maudhui, vilevile jukwaa ulilotuma habari(huwa nyuzi zikiwekwa jukwaa tofauti zahamishwa), pia habari isiyo na ukweli huwa inapigwa chini