Naombeni kujua ni nchi gani za Kiarabu ziko fresh kutembelea

Yeah! Huyu kijana ana nia ya dhati kabisa. Sasa kiarabu kinapanda kidogo?
Unaweza safisha vyoo vya stand za huko!

Naposema vyoo some pipo wataponda ila ni vizuri visafi na vifaa vya kusafishia visafi kwa mtanzani utaipenda kazi
Soma kiarabu kwanza
Ufunge zip yako. Kule watu ni wapole sana ke anaweza kunya mbele yako.
Bila kujua kiarabu siwezi kwenda huko mkuu?

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Unaweza kwenda Misri? Tunapeleka wasafiri wengi huko tangu msimu wa sikukuu uanze. Ni sehemu sahihi kama unatamani kutembea ukafurahi na kujifunza.

Safari hii ambayo ni ofa maalum; itahusisha ziara ya Miji Miwili ya Cairo na Sharm kutembelea vivutio na maeneo ya kihistoria, malazi hotelini katika miji yote miwili, chakula, usafiri na viingilio kwa takribani siku 7 mfululizo.

Gharama zote ni Dola 549 (sawa na shilingi 1,273,777.17).

Kila la kheri!
Mirsi mkuu labda nikiwa fresh ..sasa iv nafkiria kwenda mashariki ya kati kutafuta pesa.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Asante mkuu ebu fafanua kidogo, ubawajua vip warabu mkuu..

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app

Nimeishinao maeneo mbali mbali,,,tofauti wanavyofikiriwa. Ivyo i know them.,, Mwarabu awezi pita bila kukusalimu ama umehalibikiwa njiani mwalabu yuko tayali kukusaidia hata kama hakujui wakati ngozi nyeuc hii kitu haipo,,hawa ndio wa2 wakarimu. Weusi wapo pia ila wachache muno.
 
Bila kujua kiarabu siwezi kwenda huko mkuu?

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
utaenda ila hutafurahia uwepo wako huko! Connection za maisha ndo unataka huko.
Cyccle kubwa ya watu watakao rahisisha maisha yako ukiwa kule hata ukiwa nyumbani.
Unapata fursa ya kupanua wigo wa marafiki ili usonge mbele kiuchumi. Kinyume na hapo itakuwa haina maana.
 
Hapo ni sawa kabisa, mpango wangu adi April niwe nimetia timu huko..muhimu ni kujifunza vitu vipya zaidi na kupata fursa mpya.
 
Wakuu nilianza mchakato wa kusepa mapema hapo mweiz wa tatu ..nani anataka tuungane naye?

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Ndugu kwa sasa sio wakati mzuri wa kusafiri suburi hadi hii PANDEMIC a.k.a Corona imelizike na kila kitu kirudi kuwa normal DUNIA iridu kwenye hali yake ya kawaida.

Narudia tena... suburi hadi DUNIA irudi kwenye HALI YAKE YA KAWAIDA.......Dunia imebadilika ghafla .
 
Ndugu utasubiri hadi lini maana khali hasa huku kwetu inazidi kuwa mbaya zaid. Je khali isipochange itakuwaje?

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Ndugu utasubiri hadi lini maana khali hasa huku kwetu inazidi kuwa mbaya zaid. Je khali isipochange itakuwaje?

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Hata sehem unayo plan kwenda ipo kwenye sintofahamu ya PANDEMICS a.k.a corona kiufupi kila corner ya Dunia ipo ktk hali ya mbaya ktk kila Kitu iwe uchumi au Utalii....na kingine Tanzania Ipo kwenye RED LIST COUNTRY kwenye Nchi nyingi ndio maan nimekupa ushauri Suburi.
 
Sawa sawa mkuu. Ngoja tuendelee kucheki ramani zimekaaje, by the way nilianza application teyari..

Back
Top Bottom