Naombeni kujua jamani

Naombeni kujua jamani

Karibu mgeni.
Zingatia yafuatayo.
Ukitingozwa jf usikubali, Kuna watu Kama raraa reree ukiwakubalia watamwambia kila mtu.
Matusi hayaruhusiwi humu.
Kuwasema viongozi vibaya marufuku hata ukimuona katibu kata amelewa anavua nguo hadharani, mezea.
Lugha inayotumika Ni kiswahili.
La muhimu zaidi, Ni marufuku kuwatania wapare hata ukimuona ameagiza chai nusu na andazi moja.
 
Kumb ndo tabia yao
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom