Tareek Azeez
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 14,766
- 36,857
Ukachero tu utakuuweni.
leo umecommentMeet ni dating site, ambapo wanawake hujianika kujiuza na wanaume huwaangalia na kuwanunua...
Cc: Mahondaw
Duuuh hatari!!Na micheps pia...
Unamtumia link unamwambia ajoin kwa meeting, unaongeza na dummy accounts mbili tatu akidi itimie kionekane ni kikao 😆
Agenda ya kikao: Team building Serengeti au Nairobi....dadadekiiii