kokudo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2010
- 2,571
- 1,782
Mkuu naomba connection ya ChinaMimi nimesafirsha sana viatu na nguo kupitia kwao ilikuwa inakuja imefungwa kwenye gunia zile ndefu mfano viatu na nguo za milion 4 vimejaa kwenye hilo gunia nakuja lipa lak saba mpaka nane ikiwemo ushuru na usafirshaji maana wao unawalipa gghharama wanakuwa washamalizana na kila kitu wabeba mzio wako tu.