Naombeni kujua gharama za Silent Ocean

Naombeni kujua gharama za Silent Ocean

Wanachelewesha Sana mizigo mpaka kuupata utakoma
 
Hao Silent Ocean wanaangalia ukubwa wa mzigo ( Size ).

Yaani unapima:
ZIDISHA: Urefu^Upana^Kimo= Ukubwa Wa Mzigo Wako Kulingana Na Utakavyofungwa.

Ukiona hao Silent Ocean wanakuzingua.

Nenda: GNM Cargo.

Na wao wakizingua, nenda Mokha Agency.

Hao wote wanasafirisha kwa MAJI na kuupata mzigo wako ni siku 28-32.

Note.

Kama mzigo wako ni mwepesi sana na unautaka haraka, tumia ndege ni siku 3-5.
Hapa ndio wanaingia DHL, USPS, EMS
Ingawa inatafuna faida kama unafanya biashara, maana bei zao ni kubwa: Ni 1KG-2KG Kwa 10USD.

Best of Luck
 
Nimeisave hii kwa reference zangu thanks mkuu
 
Asante sana

Hao mika agency na GNM wanakutikana wapi?
 
OK ngoja nasi tujisigeze
 
Mimi nimesafirsha sana viatu na nguo kupitia kwao ilikuwa inakuja imefungwa kwenye gunia zile ndefu mfano viatu na nguo za milion 4 vimejaa kwenye hilo gunia nakuja lipa lak saba mpaka nane ikiwemo ushuru na usafirshaji maana wao unawalipa gghharama wanakuwa washamalizana na kila kitu wabeba mzio wako tu.
 
Hao Silent Ocean wanaangalia ukubwa wa mzigo ( Size ).

Yaani unapima:
ZIDISHA: Urefu^Upana^Kimo= Ukubwa Wa Mzigo Wako Kulingana Na Utakavyofungwa.

Ukiona hao Silent Ocean wanakuzingua.

Nenda: GNM Cargo.

Na wao wakizingua, nenda Mokha Agency.

Hao wote wanasafirisha kwa MAJI na kuupata mzigo wako ni siku 28-32.

Note.

Kama mzigo wako ni mwepesi sana na unautaka haraka, tumia ndege ni siku 3-5.
Hapa ndio wanaingia DHL, USPS, EMS
Ingawa inatafuna faida kama unafanya biashara, maana bei zao ni kubwa: Ni 1KG-2KG Kwa 10USD.

Best of Luck
Hiyo Dollar 10 ina comprise na importTax??
 
Ila mi naona bkra mtu usafirishe mzgo kwa Meli ila iwe mizigo ya target tuu.
 
Back
Top Bottom