chapangombe
JF-Expert Member
- Sep 28, 2014
- 362
- 289
Mkuu upo sawa lkn mbona basi advocate ana duty to the court lkn kwanini aitwe officer wa mahakama? Hivi nikisema ni officer wa TANESCO ninakuwa nina maanisha nini? Logic ni kuwa hajaajiriwa na mahakama lkn bado ni muhusika katika mahakama ndio maana mahakama inamwangalia sana wakili kwenye proceeding ili aisaidie courtAn advocate/wakili ni ofisa wa mahakama na si mtumishi wa Mahakama. Hakimu au jaji ndiyo watumishi wa mahakama ila si mawakili.
Cheo cha jaji ni cha uteuzi ambacho rais anateua. Hakuna cha kusomea zaidi ya kubahatika kupenya kwenye mamlaka za uteuziJe, wakili anaweza kuwa Jaji? Afanye nini awe jaji?
Ni bahati tu kupenya kwenye mamlaka za uteuzi(Rais)1. Mwanasheria ni mtu yeyote mwenye taaluma ya sheria. Inaweza kuwa cheti, diploma, degree n.k
2. Wakili ni mwanasheria mwenye cheti/leseni inayomruhusu kumuwakilishi mtu mahakani na kuandaa document za kisheria. Kwa sasa ili uwe wakili ni lazima baada ya kupata degree ya sheria upite lawschool, yaani shule ya sheria kwa vitendo.
3. Jaji ni cheo cha kuteuliwa na raisi. Ila kuteuliwa kwake lazima awe na uzoefu wa kufanya kazi za kisheria (wakili/hakimu n.k)kuanzia miaka 10 na kuendelea.
Wewe ulikosea kusema kuwa wakili ni mtumishi wa Mahakama...Correct wording ni afisa wa Mahakama...akiwa na duty towards the court. Wajibu kwa Mahakama.Mkuu upo sawa lkn mbona basi advocate ana duty to the court lkn kwanini aitwe officer wa mahakama? Hivi nikisema ni officer wa TANESCO ninakuwa nina maanisha nini? Logic ni kuwa hajaajiriwa na mahakama lkn bado ni muhusika katika mahakama ndio maana mahakama inamwangalia sana wakili kwenye proceeding ili aisaidie court
Noted comredWewe ulikosea kusema kuwa wakili ni mtumishi wa Mahakama...Correct wording ni afisa wa Mahakama...akiwa na duty towards the court. Wajibu kwa Mahakama.
Kwa maana ya kuisaidia mahakama ktk utekelezaji wa maamuzi ya migogoro. Yaani wakili anawajibika kuijuza mahakama juu ya kila kitu ambacho kinaweza kuisaidia mahakama itende haki. Asifiche vitu ili kupindisha haki.
Hiyo duty ya wakili kwa mahakama haimfanyi yeye kuwa mtumishi wa mahakama. Neno mtumishi maana yake mtu huyo ni mwajiriwa wa muhimili huo wa Mahakama.
Pamoja na kuwa na wajibu kwa mahakama...mawakili wana duty nyinginezo towards the Public, Profession, oneself, etc...kwa vile wakili ana wajibu kwa umma ktk kuelimisha mambo kadha wa kadha ya kisheria...hatuwezi kusema sasa kuwa wakili ni mtumishi wa umma....kama ambavyo ni misconception kusema kuwa wakili ni mtumishi wa mahakama kwa vile ana wajibu kwa mahakama.
jaji anateuliwa na Raisi kasom katiba JMT 109Je, wakili anaweza kuwa Jaji? Afanye nini awe jaji?
mutikiYegho jaji
Ila refa anaweza kuwa hajawahi kucheza mpira, lakin kwa Jaji ni tofautMawakili ni sawa na wachezaji wa mpira na jaji ni refa.Ukielewa mfano huu utanishukuru bila shuruti.
katiba ya JMT sura 109 inaeleza kuhusu uteuzi wa majajiCheo cha jaji ni cha uteuzi ambacho rais anateua. Hakuna cha kusomea zaidi ya kubahatika kupenya kwenye mamlaka za uteuzi
Kucheza mpira ni kuzijua sheria za mpira na kuzitii sheria hizo na wala siyo kupiga chenga na kufunga magoli mengi na ndiyo maana mchezaji akiingia uwanjani bila ya kujua sheria za mpira atarudishwa bench haraka sana kupitia red card.Hii maana yake ni kwamba refa na wachezaji wote wanazijua sheria za mpira na kwa hiyo wote ni wachezaji wa mpira.Ila refa anaweza kuwa hajawahi kucheza mpira, lakin kwa Jaji ni tofaut
Mi nafikiri hana cha kufanya ili awe jaji. Akiwa wakili tu anaweza kuteuliwa kuwa jaji. Maana navyojua majaji wanateuliwa na Raisi majina yakishapendekezwa na jaji mkuu, ampabo wateuliwa wanakuwa wanasheria hasa mawakili.Je, wakili anaweza kuwa Jaji? Afanye nini awe jaji?
mutiki
ila sio mawakili wa serikali,Kwa maoni mengi inaonekana majaji wengi ni vilaza kuliko mawakili
Hiyo siyo kweli.Kwa maoni mengi inaonekana majaji wengi ni vilaza kuliko mawakili
Mkuu mwanasheria ni kuanzia degreeHii ni kwa mujibu wa katiba ya wapi bwashee? Yani hata uwe na seifiketi ya sheria tu inatosha na unaweza kuwa jaji?
Nimepata mwanga sana!1. Mwanasheria ni mtu yeyote mwenye taaluma ya sheria. Inaweza kuwa cheti, diploma, degree n.k
2. Wakili ni mwanasheria mwenye cheti/leseni inayomruhusu kumuwakilishi mtu mahakani na kuandaa document za kisheria. Kwa sasa ili uwe wakili ni lazima baada ya kupata degree ya sheria upite lawschool, yaani shule ya sheria kwa vitendo.
3. Jaji ni cheo cha kuteuliwa na raisi. Ila kuteuliwa kwake lazima awe na uzoefu wa kufanya kazi za kisheria (wakili/hakimu n.k)kuanzia miaka 10 na kuendelea.