NAOMBENI KAZI WADAU YAANI MSINITUPE

brotherkaka55

Member
Oct 6, 2015
30
2
Natarajia kuwa msambazaji mkubwa wa vinywaji kwa bei ya jumla DSM kazi ambayo hadi sasa naifanya dukani kwangu. Ombi langu ni kwamba ukiwa na tukio lolote litakalohitaji vinywaji, piga 0716535134 utashauriwa pia namna ya kupunguza garama.
 
Haya borther-Kaka, tumekusikia. Mwenyezi Mungu akujaalie na kukufungulia milango zaidi katika biashara zako.
 
Back
Top Bottom