YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,908
- 51,907
Jeshi la Wagner ni jeshi la kampuni binafsi ya Ulinzi kama zilivyo kampuni binafsi xa ulinzi zilizopo hapa Tanzania kama Group4 Security,KK security, Kiwango Security,nk kampuni ambazo mtu waweza Ziomba ulinzi kwa malipo
Kampuni hiyo binafsi kwa Urusi ilianzishwa na Yevgeny Prigozhin ambaye ndie mkuu wa Jeshi la Wagner hadi leo
Kampuni hiyo ya ulinzi ya binafsi ya Wagner ilipewa tenda ya kupigana na Ukraine katika maeneo mbalimbali ya Ukraine ikiwemo mji w bathmut mji ulio mpakani na Russia.Wagner wamepigana katika mji huo kwa kipindi cha Mwaka mzima.Jana mkuu wao katangaza kuwa kampuni yao ya ulinzi ya Wagner imemaliza kazi ya kuteka mji wa Bakhmut na kupisha jeshi la serikali lichukue nafasi yao kwenye mji huo wanaosema wameuteka wote baada ya vita ya mwaka mmoja sasa wao wanapisha jeshi la serikali lichukue usuukani wa kulinda huo mji japi Ukraine inakanusha kuwa hawajateka wote
Wachambuzi mahiri wa mambo ya kivita wakiwemo wasomi na maprofesa wa vyuo Vikuu vya kijeshi waliohojiwa vyombo mbali mbali vya habari wameeleza sababu ya Kwa nini Wagner Group wameamua kuondoka Bakhmut Ukraine
Sababu zinazoelezwa ni kuwa
Kampuni ya Ulinzi ya Wagner ilianzishwa na viongozi mafisadi wastaafu wa Jeshi la Urusi ili kukwapua pesa za Serikali kwa kujipa tenda mbalimbali za ulinzi wa ofisi za taasisi za serikali na kampuni za serikali kupitia hiyo kampuni yao.Kila kona walikuwa wakipewa tenda wao za ulinzi Ukiwa mkono wao wa kukwapulia pesa za serikali na kuzikabidhi kwa hiyo mifisadi wakilipwa
Mchezo huo umeendelea muda miaka mingi hadi ilipofika vita ya Ukraine
Ilipofika vita ya Ukraine Mafisadi walinogewa kuwa Jeshi la serikali likiwa vitani basi kampuni ya Wagner ipewe kazi ya kulinda lindo kambi na vituo vya kivita na kulinda maeneo yaliyotekwa na Jeshi la serikali ya Urusi nchini Ukraine.
Kazi hiyo ya kulinda maeneo yaliyotekwa na kulinda kambi na vituo vya silaha za kijeshi pesa ilibidi iongezeke ya kuwalipa kwani sasa hilo ni eneo jipya na hatari.Wakakubaliana Serikali kuwa italipa invoice zao bila shida
Mgogoro ulianza kati ya Jeshi la serikali na Wagner group Pale Ukraine ilipoanza kufanya kweli kwa kulipua vituo na kambi za Jeshi la Urusi vilivyokuwa maeneo ya ndani ya Ukraine ambako.walinda.lindo walikuwa Wagner Group.Wagner Group askari wake kukimbia lindo kuogopa kuuwa na majeshi ya Ukraine.Hilo likaikasirisha wizara ya ulinzi ya Russia kuwa sasa wanalinda nini kama vituo na kambi zinashambuliwa na Ukraine na wao wabakimbia.Wizara ikasema hawawezi kulipa invoice zao kwa kaxi ambayo hawajafanya ya kulinda.Wagner wakadai kuwa hawana silaha nzito za kupigana wao Kama kampuni binafsi ya ulinzi silaha zao duni wakaomva wapewe silaha nzito na jeshi la urusi!!! Kitu ambacho sio cha kawaida kampuni binafsu huwa na Askari wake na silaha zake yenyewe!! Hawapewi na mwenye Lindo au serikali.
Wizara ya Ulinzi ya Russia ikasema kuwa kama ni hivyo mkataba unatakiwa utizamwe upya kuwa hizo silaha wanazopewa ihesabike kuwa Jeshi limewauzia hivyo gharama zake.watakatwa kwenye invoice yao ya madai ya malipo Wagner Gruop itakayoleta sababu sio wajibu wa Jeshi.la serikali kuwapa silaha wao Kama kampuni binafsi Wagner Group wakakataa hilo.Wizara ikasema OK chukueni silaha wakati majadiliano yanaendelea sababu vita inaendelea ndipo Wagner wakapewa silaha na jeshi la serikali na kuambiwa moja ya jukumu lake jipya sasa sababu wanepewa silaha itakuwa sio kulinda tu bali pia kupigana kwenye maeneo yao ya lindo pakivamiwa na Ukraine waendeleemajadiliano ya kubadili vipengele vya mkataba yakiendelea.
Bakhmut ni eneo mojawapo.walilopewa kama lindo Majeshi ya Russia yakiwa mstati wa mbele huko Sasa Ukraine kafanya kweli Bakhmut vita mwaka mzima,Wagner wakiwa hawaonyeshi dalili ya kushinda.Wizara ya Ulinzi ikaana Silaha wanazowapa Wagner tharamani kubwa na ushindi hamna na madai yao wakileta invoice ukitoa gharama za vifaa Wagner Group hawatapata kitu.Wizara ya Ulinzi ikasema hawaoni faida yeyote ya Wagner Group vitani ni.uoptexaji pesa tu na vifaa hivyo wakasema wanataka kuvunja mkataba na Wagner Group wa kuhusu wao kuwemo.vitani Ukraine na kuwa Invoice zao za malipo. Haxitalipwa hadi mjadala mzito ufanyike pande za
zote
Mifisadi yenye Kampuni ya Wagner nayo ikaona hiyo kazi kwao haina faida tena ni mivutano tu na hailipi kwao ndio kisa cha Wagner Group kuondoka mji wa Bakhmut Ukraine na kupisha majeshi ya serikali wachukue malindo yao wao warudi kufanya tu kazi za ulinzi mitaani na maofisini ndani ya Urusi na kusubiria outcome ya malipo.ya invoice zao
Ni kuwa kwa sasa Wagner.wanaondoka kabisa Vita Ukraine baada ya kuona biashara hailipi wanawaachia Jeshi lenyewe la serikali.