Habari zenu wakuu, nimesikia watu wengi hasa mafundi wakisema gari zenye engine za D-4 sio nzuri, ni kweli? na mbona kila nikiangalia mtandao naona engine nyingi za sasa ni D-4. Je nifanyeje? naombeni ushauri.
Sorry wadau, baada ya kupost nimeona kuwa mada hii ilisha jadiliwa, lakini nadhani sio vibaya kama mtanipa uzoefu wenu maana mambo hubadilika. Asanteni sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.