Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,650
- 16,731
daaa ufike salama mpendwa wetu mungu awe nawe utokapo na uingiapo amenwana jamvi habari zenyuniombeeni dua naelekeakijijini kwetu kwenye misa ya mzee wetu jj msofe ali r.i.p 23 yrs ago,nipo kwenye bus la happy nation,na hizi ajali oooops! Hapa namsaidia driver kufunga break kwa meno, miguu na kuendelea.karibunikuna kande huko
daaa ufike salama mpendwa wetu mungu awe nawe utokapo na uingiapo amen
utafika salama salmini nimeishakuombea tayari....
kila la kheri..
kila la heri, ila hata abiria una wajibu wa kusema unapoona dereva haendeshi vizuri.
Usalama wako kwanza
Ila natumaini siti yako haiko karibu na dereva maana kwenye kubadilisha gia anaweza akakosea halafu mkono ukaenda sehemu nyingine halafu dereva akaanza kupata mshtuko...:lol::eyebrows:aswanti!
ila natumaini siti yako haiko karibu na dereva maana kwenye kubadilisha gia anaweza akakosea halafu mkono ukaenda sehemu nyingine halafu dereva akaanza kupata mshtuko...:lol::eyebrows:
Na ulivyojaa upako?Utafika salama salmini nimeishakuombea tayari....
Ila natumaini siti yako haiko karibu na dereva maana kwenye kubadilisha gia anaweza akakosea halafu mkono ukaenda sehemu nyingine halafu dereva akaanza kupata mshtuko...:lol::eyebrows:
happy nation..................siwakandii lakini nimoja ya kampuni nilizozipiga x kwenye selection ya ya chombo cha kusafiria
Happy Nation..................siwakandii lakini nimoja ya kampuni nilizozipiga x kwenye selection ya ya chombo cha kusafiria