TOTS SHALO Senior Member Joined Sep 24, 2012 Posts 152 Reaction score 25 Dec 31, 2013 Thread starter #41 Sangarara said: Mungu Ashukuriwe sana, sasa sio ukampe majina ya mababu sijui jina la baba na wapi sijui, watanzania kwa umasikini tulionao inawezekana tunamikosi, mpe huyo mtoto jina la kipekee kabisa, akapambane nalo maishani mwenyewe.na nimeishapendekeza Defajo. Click to expand... Nashukulu mkuu nitatafakali nakumpa jina lake mwenyewe na kama ikiwezeka nitamuita: Defajo
Sangarara said: Mungu Ashukuriwe sana, sasa sio ukampe majina ya mababu sijui jina la baba na wapi sijui, watanzania kwa umasikini tulionao inawezekana tunamikosi, mpe huyo mtoto jina la kipekee kabisa, akapambane nalo maishani mwenyewe.na nimeishapendekeza Defajo. Click to expand... Nashukulu mkuu nitatafakali nakumpa jina lake mwenyewe na kama ikiwezeka nitamuita: Defajo
L Leney JF-Expert Member Joined Jul 9, 2007 Posts 308 Reaction score 30 Dec 31, 2013 #42 Dedication kwa baby boy wetu..the very day you came to me, my whole life became brand new Oohh baby... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Dedication kwa baby boy wetu..the very day you came to me, my whole life became brand new Oohh baby...