kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 6,152
- 15,799
Dishi
Asante mkuu, nipatie kazi sasaKila la Kheri Mkuu
Hahahha 😂Njoo babu anayo
Unataka kunywa uji au?Dishi
ajila umepata mkuu kwa huo ufaulu.Nina ufaulu wa A mkuu
Itafanyikia makao makuu ya chuo, je nauli ya kuhudhuria utakuwa nayo?nasubiri ugraduate nije kwenye hafla ya graduation yako mkuu.
Khira la kheri
Nikipata ya kupakia abiria kuanzia 500 itakuwa vizuri zaidi.ajila umepata mkuu kwa huo ufaulu.
Hahaha labda nikufanyie connection hapo ATCL mkuu.Asante mkuu, nipatie kazi sasa
Huko moscow utadunguliwa na putinNataka niwe napakia abiria kutoka moscow, dodoma, delhi n.k
Itakuwa vizuri sana, natamani na wewe uwe abiria wangu wakati naipaisha ndege mawinguni.Hahaha labda nikufanyie connection hapo ATCL mkuu.
Kabisa mkuu maana wengine tutaonja umauti hata ndege hatujawahi kupanda. HahahaItakuwa vizuri sana, natamani na wewe uwe abiria wangu wakati naipaisha ndege mawinguni.
kwan hadi kufka makao makuu chuo cha youtube ni kilometer ngap mkuu?Itafanyikia makao makuu ya chuo, je nauli ya kuhudhuria utakuwa nayo?
Ina umbali wa kilojibi tano tukwan hadi kufka makao makuu chuo cha youtube ni kilometer ngap mkuu?
Kuna fani nyingi sana kwenye hichi chuo, we si ulisema nikutafutie nafasi ya udaktari wa upasuaji wa maini hapa chuoni?Ukilewa usichati bwashee
Vinajana tunao wategemea katika ujenzi wa Taifa ndio hawaWiki ijayo nitaanza mafunzo ya urubani wa ndege kwa muda wa miezi miwili katika chuo cha YouTube.
Baada ya hiyo miwezi miwili, nitakuwa nimehitimu vizuri.
Kwa hiyo ndugu zangu, wale wote wanaomiliki ndege, naombeni mnipatie ajira, maisha ni magumu mtaani.
Kaka mimi kazi nazikimbia bwashee 😅Kuna fani nyingi sana kwenye hichi chuo, we si ulisema nikutafutie nafasi ya udaktari wa upasuaji wa maini hapa chuoni?