Naombeni ajira ya urubani

Naombeni ajira ya urubani

Wiki ijayo nitaanza mafunzo ya urubani wa ndege kwa muda wa miezi miwili katika chuo cha YouTube.

Baada ya hiyo miwezi miwili, nitakuwa nimehitimu vizuri.

Kwa hiyo ndugu zangu, wale wote wanaomiliki ndege, naombeni mnipatie ajira, maisha ni magumu mtaani.​
Mjomba hata ndege za usiku hupati ajira labda utie buku ukarushe aviator
 
Wiki ijayo nitaanza mafunzo ya urubani wa ndege kwa muda wa miezi miwili katika chuo cha YouTube.

Baada ya hiyo miwezi miwili, nitakuwa nimehitimu vizuri.

Kwa hiyo ndugu zangu, wale wote wanaomiliki ndege, naombeni mnipatie ajira, maisha ni magumu mtaani.​
Ya Gwajima imepaki tuu Wanatafuta rubani. Wahi pale Ufufuo na uzima.
 
Back
Top Bottom