Naomben ushauri

Naomben ushauri

Simon Eddy

New Member
Joined
Dec 20, 2013
Posts
3
Reaction score
2
Mim n kjana mweny umri wa miaka 21 na ninasoma kdato cha sita, kunamwanamke n mke wa mtu, tumejuana sasa n mwaka mmoja.
Nilipokuwa likzo ya mwez wa sta mwaka huu unaoisha, nilikuwa nimetulia tu nyumbn, kuna kpnd alikuwa akniita ita sana kwake, nikienda nnadhan pengne ana shda lakn sio nkfka ananitania kdogo tu halaf anakuwa hana la kuongea, mm najtahd kuongea ongea kusudi kuondoa ukmya halaf nkchoka ninaondoka bla kujua alichoniitia, mambo haya yaliendelea mara kwa mara na mara nying alikuwa akja home na ananiletea utan.
Kuna cku nlikuwa npo home peke yang nilikuwa chumban nimelala, nilimsikia anabsha hod halaf akaingia getin, alibsha hod tena nkaitkia lakn hakunckia, baadae akaanza kuita jna lang , nkaongea kwa saut 'ninakujaa' huku ninavaa ili nitoke, ila yy aliponckia akaingia ndan had kweny mlang wa chumb changu akausukuma kdog halaf akachungulia, akaniuliza wenzako wakowap? ...'wameenda tuition'..nkatok sebulen, akafungua kanga yake halaf akaifunga tena ila mm nlijfanya simuon, akakaa na mm nkakaa tukaanza kuongea huku ananiangalia, nkmwanwangalia kwa hali isiyo ya kawaida anakwepesha macho mi nkawa smuelewi, alikuwa akja mara kwa mara cku zngne anansaidia kupka kwa cbab mara nying nakuwa peke yang nyumban, 2lipfungua shule nilirud shule lakn alikuwa akntumia sms 'utafunga lini?' ila ckuwa namjbu.
Sasa hv tuméfunga shule, cku nmekutana nae aliniambia "..afadhali umerudi, tena umenkuta nawaz utakuja lin' m nilicheka kdogo,story kdogo halaf tukaachana
Lkzo hii tena mamb yaleyale, sasa ananiita kwake kwa kutumia cm anasema nkamwelekeze namna ya kuchezea computer lakn nkienda hajali tena mambo ya computa, salam kdogo halaf hana cha kuongea mimi ndio najaribu kuleta stori mbalimbali, mara ajilaze kwa staili tofauttofaut znazochora makalio yake, mimi naingiwa na hofu nikzngatia n mke wa mtu, naamua kumuaga ...'mimi naondoka'...si usubiri tule! Nikang'ang'ania kuondoka akasema basi ila nmefurahi!
Juz juz tu tena alikuja nyumban nilikuwa ndan, nilipotoka, kwa stairi aliyokuwa amevaa nilisita kwanza kutoka, baadae nikasikia hod, nkamuona anarekebsha mavaz yake vzuri, ndpo nikatoka kumkaribsha aliyekuwa akbsha hod, hata sasa mambo ya namna hii yanaendelea kupamba moto ndio maana nmeamua kuwashrikisha na nyinyi,
Nisaidien kimawazo na ushaur, nfanye nn kwa sabab ananifanyia vtuko kila tukikutana na istoshe nikmwangalia anajiheshimu na mm nnamheshimu pia na cwez kumtamkia neno lolote baya. Nishaurini!
 
You know what to do and you should do it quick!
 
kumwangalia kwa hali isiyo ya kawaida ndio kukoje?
 
Mke wa mtu ni sumu, usijaribu chombeza...

Fikiria vitu vingi akilini mwako, fikiria kuwa ana ukimwi na anataka tu kukuharibia ubaadaye wako...
 
Movie yako nzuri ila inaonesha starring ajui wajibu wake.
 
mwambie mama yako au baba yako, au mwambie mme wake. usipofanya hivi usije tena kuuliza swali hapa. ulikuwa unajua kuwa unahitaji kufanya hapa sasa unakuja hapa kuuliza kwasababu hata wewe tamaa imekushika unataka tukuhalalishie kuwa uende ukazini naye. jua kuwa wewe ni mtoto mdogo tu, na mke wa mtu ni sumu, usijepata kilema cha maisha au kupoteza maisha wakati hata chuo hujafika.
 
Kabla hujachanganya na za kwetu wewe za kwako ni zipi?
 
jitahidi usikae karibu naye mara kwa mara. Endelea tu kumheshimu ili ndoto zako zisije zikakomea karibu.
 
dah kwanini hizi mambo zinawapata nyie wanafunzi? Hebu soma kijana mapenzi yapo tu utayakuta. Hilo ni pepo chafu tena shetwain kabisa.
 
ogopa mke wa mtu ingawa nina mashaka kama wewe ni form six kweli
 
BUBUji kuja hapa na jirani yako mwekundu

Kijana kimbia kama mbio za kipepe, ogopa hiyo ingawa kuna mijitu humu inaweza sema hiyo ni zali la mentali
 
Last edited by a moderator:
We endelea tu siku utakapoliwa Mini Kabang utakuja kutuambia hapa...
 
Siku atakayokuita kwake na kuanza kujilaza hovyo then mumewe akaingia ghafla ndio utajua nini ulipaswa kufanya na itakuwa too late!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom