Tutor B
JF-Expert Member
- Jun 11, 2011
- 9,025
- 6,618
tofauti ya miaka 5 ni nzuri zaidi, 20 years ni mingi mno mdogo wangu; utashindwa kwendana naye kwa mambo mengi. We wakati unasikiliza Cloud's FM yeye anataka kusikiliza BBC, unataka kusikiliza bongo fleva, yeye anataka nyimbo za Mbaraka mwishehe na Old school, kuna hata fasheni za mavazi nyingine atakuzuia kabisa.