naomben majibu wadau katika hili

naomben majibu wadau katika hili

Mbona sio mingi Munkari........mi na miaka yangu 55 kaam le mutuz, nikitoka na kabinti ka 27 tunaonekanas awa tu tena 'perfect match"

mmh sasa hapo inategmea na umbo na sura ya huyo binti! Kama anaonekana ana umbo kubwa na sura ya kial-shabab hapo mtaendana ila akiwa potabo na kasura laini mmh lazima mtajishtukia!!
 
Last edited by a moderator:
kwann wewe unahitaji nn ktk ndoa? maana ndoa ina mambo mengi,ila ndoa kama ndoa aliekupita miaka michache ndio sawa.

kweli mwaya miaka 20 duu! Japo wanasema ng'ombe hazeeki maini lakni mmmh!! Ni mingi kwakweli lazma kuna mambo yatakuwa tofauti hapo!!
 
mababa yanajua kucare!!!! we deborita si umkamue huyo babu yako then anzisha maisha na kijana anaekuzidi miaka 5,,,,
sio kila muembe uwe wako mingine tungua peleka sokoni upate hela!!!!!
duh haya...mi napita
 
mmh sasa hapo inategmea na umbo na sura ya huyo binti! Kama anaonekana ana umbo kubwa na sura ya kial-shabab hapo mtaendana ila akiwa potabo na kasura laini mmh lazima mtajishtukia!!

mm,......wewe ya kwako ni ipi sasa apo Munkari...
 
Last edited by a moderator:
duu 7? Hata out mnatoka kweli??

Hahahahaaa..... Tunatoka.. Nina umbo kubwa hivyo nikitembea nae tunaonekana poa tuu..! Ila mwanzoni ilinipa taabu saana..! Kwa sasa nimezoea tena naona raha na nadeeeeka kwa raha zangu..!!
 
Hahahahaaa..... Tunatoka.. Nina umbo kubwa hivyo nikitembea nae tunaonekana poa tuu..! Ila mwanzoni ilinipa taabu saana..! Kwa sasa nimezoea tena naona raha na nadeeeeka kwa raha zangu..!!

hehe! Loh unantamanisha ujue namiye nsake kijibabu nikidekeee!! CC Kaizer
 
kwa mtazamo wangu inategemeana mwanamke ana umri gani, kama best yangu Heaven on earth alivyouliza, maana kama mwanamke ana miaka 40, mume akiwa na 60 sio ishu sana maana tunajua hawa mawazo ya kuzaa watoto yanaweza kuwa hayapo, ila binti wa miaka 25 mume 45, hapo binti tuna imani unahitaji watoto, na mume unaweza kukuta tayari anao, lets say hana,mmeamua kuzaa, hapo ujue hao watoto ni jukumu lako zaidi baada ya miaka 115-20, maana mwanao akifikisha miaka20 baba yake tayari anachezea 65,hapo ni babu, hawezi kuwa na control ya kutosha kwa watoto.
 
Back
Top Bottom