Naombea upinzani wa kina lema mbowe na lisu ufe uibuke upinzani usiofwata sheria

Utakumbana na utawala mkali unaofuata sheria
Kajifunze historia chezea vyote lk usicheze na uhuru wa watu, dk sifuri tu kazi ya miaka 100 inakwisha...wp sadam, hitla muzolini..gadafi..and the list goes on, watu watatulia kwa muda tu wakirauka yooooote mnayojisifia nayo wanayaweka chini...
 
Ccm wakivunja sheria sio vurugu upinzani wakifwata sheria vurugu

upinzani Tanzania unafutwa taratibu na very systematic sasa upinzani huu ukifa si ndio hitajio la taifa!? Acha ufe malengo ya ccm yatakuwa yametimia kwani ni Siri?

Imagine tunaingia uchaguzi wa 2020 bado mkurugenzi atateuliwa kuwa msimamizi wa uchaguzi mianya ya vurugu inaonekana ila Hakuna anayesema ndio maana namuomba Mungu kwa dhati ya moyo wangu lema lisu mbowe matiko msigwa kubenea wote wahamie ccm au watangaze siku moja wote waachane na upinzani baaaaasiiiiii!!
 
Y

Yakitokea haya jua ndio Tanzania mpya imeshaanza kuinuka
 
Ni jambo la wazi kwamba upinzani Tanzania ulianzishwa kwasababu za wazi kisheria na halali!!

Upinzani huu wa halali unafanyiwa sabotage sawa ni jambo jema ila upinzani huwa ni wa moyoni!!

Nakuomba mwenyezi Mungu Kama Tanzania haitaki upinzani tulivu unaofwata sheria na upinzani halali uliuanzisha wewe mwenyewe:

Mungu kwakuwa hukutuumba kufikiri sawa basi nakuomba ee Mungu zalisha upinzani utakaofwata matakwa ya kibinadamu yaliyojaa umimi na ubinafsi!!

Upinzani ambao uliuruhusu wa kutofautiana huku tukipendana na kuheshimiana unahujumiwa!!

Eeeeee Mungu sikia sala zetu tunaopenda haki harakisha upinzani dhahiri utakaolifunza taifa hili umuhimu wa demokrasia kwa namna ambayo haitasahaulika kwenye vitabu vya kumbukumbu!!

Eee Mungu tunaomba Aina mpya ya upinzani Tanzania ambayo hatujawahi kuiona toka umetufanya taifa huru!!

Superbug

Loo, sijui kama wapo wengi watakaokuelewa.

Watawala wanausubiri sana upinzani wa namna hiyo, kwani ndio matumaini yao ya kuwa itakuwa rahisi kuuondoa upizani.

Wanaamini uwezo wa kuuondoa upinzani wa namna hiyo wanao.

Pamoja na kwamba waTanzania hawana nia ya upinzani wa aina hiyo unayoizungumzia; hao (watawala) wanawalazimisha waTanzania waelekee huko.
Matumaini yangu ni kwamba akili zitawarudia mapema wasiendelee kulipeleka Taifa hili katika janga kama hilo.
 
Ni jambo la wazi kwamba upinzani Tanzania ulianzishwa kwasababu za wazi kisheria na halali!!

Upinzani huu wa halali unafanyiwa sabotage sawa ni jambo jema ila upinzani huwa ni wa moyoni!!

Nakuomba mwenyezi Mungu Kama Tanzania haitaki upinzani tulivu unaofwata sheria na upinzani halali uliuanzisha wewe mwenyewe:

Mungu kwakuwa hukutuumba kufikiri sawa basi nakuomba ee Mungu zalisha upinzani utakaofwata matakwa ya kibinadamu yaliyojaa umimi na ubinafsi!!

Upinzani ambao uliuruhusu wa kutofautiana huku tukipendana na kuheshimiana unahujumiwa!!

Eeeeee Mungu sikia sala zetu tunaopenda haki harakisha upinzani dhahiri utakaolifunza taifa hili umuhimu wa demokrasia kwa namna ambayo haitasahaulika kwenye vitabu vya kumbukumbu!!

Eee Mungu tunaomba Aina mpya ya upinzani Tanzania ambayo hatujawahi kuiona toka umetufanya taifa huru!!

Superbug
Mungu yupi aliyeumba upinzani? Mungu wa kweli hakuumba upinzani ndio maana Lucifer aliyemkuu wa uovu aliponzwa na roho yake ya kupinga Mipango tukufu ya Mungu Mwenyezi. Kwa kuwa mifumo ya uongozi wa duniani imeiga mifumo ya kiuongozi iliyo mbinguni(rejea kitabu cha ufunuo wa Yohane), ni wazi Mungu hapendi wapinzani.
Katika mazingira hayo si vema kuwaita watu wenye mawazo mbadala kama wapinzani.
 
Lugha ya kiswahili yenye content za ki diaspora ... umeriniu pasipoti yako?
 
Mungu yupi aliyeumba upinzani? Mungu wa kweli hakuumba upinzani ndio maana Lucifer aliyemkuu wa uovu aliponzwa na roho yake ya kupinga Mipango tukufu ya Mungu Mwenyezi. Kwa kuwa mifumo ya uongozi wa duniani imeiga mifumo ya kiuongozi iliyo mbinguni(rejea kitabu cha ufunuo wa Yohane), ni wazi Mungu hapendi wapinzani.
Katika mazingira hayo si vema kuwaita watu wenye mawazo mbadala kama wapinzani.
Dah haya bana
 
Back
Top Bottom