Zagazaga
JF-Expert Member
- Mar 2, 2011
- 563
- 262
Kajifunze historia chezea vyote lk usicheze na uhuru wa watu, dk sifuri tu kazi ya miaka 100 inakwisha...wp sadam, hitla muzolini..gadafi..and the list goes on, watu watatulia kwa muda tu wakirauka yooooote mnayojisifia nayo wanayaweka chini...Utakumbana na utawala mkali unaofuata sheria