naomba wakina baba mjirekebishe ktk hili

naomba wakina baba mjirekebishe ktk hili

na nyie kinamama mda mwingine mnazidi unakuta katoto kadogo unakaforce kukatuma mambo makubwa hadi kanachanganyikiwa then unakaazibu mfano katoto ka miaka minne katatumwa dukani vitu tisa mchele nusu,mayai mawili, mafuta robo,nyanya fungu moja alafu mwambie na chenchi inarudi kakichanganya viboko kwanini baba asirushe konde la meno wakati duka lipo tu hapo jirani usiende mwenyewe
 
Mke/mme/mwenza ni sehemu yako ya mwili....akidhalilika na wewe unadhalilika...
Ikifikia mahali unamdhalilisha mkeo/mmeo basi hukustahili kuwa na mwenza!
 
Back
Top Bottom