mamsapkhan
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 843
- 267
hbr zenu kwa ujumla, mara nyingi nimekuwa nikiona wkt mwwngine wanawake wakilalamika mama mzazi anapomuadhibu mtoto kwa kosa halafu baba unamtukana mama mbele ya mtoto wakati mwengine unampiga kisa kamuadhibu mtoto hivi inakuwaje hii? mama anakuwa hana uhuru kwa mtoto na mtoto anapata kiburi kama hujapenda adhabu aliopewa mtoto muite chumbani juzi nimeumia sana jirani kapigwa mbele ya mtoto kisa amempa adhabu mwanae kwa kuwa alitoweka nyumbani bila ya kuaga karibuni kwa mawazo yenu.