Naomba uwe rafiki yangu.

Njoo nikutibu
Bureeee
OTIS.
 
@Otis, naona hujanielewa mbona siumwi. Nataka tu marafiki.
 
Najisikia mpweke sina marafiki hapa Jamii Forums.:grouphug: Wa face book wameniharibia maisha siwataki tena.
Hebu naomba ID yako ya facebook tafazali.
Na huo uharibifu waliokufanyia unaweza kukarabatika au ndo tayari?
 
@Panda, wa kubadilishana mawazo na kupeana ushauri hapa jamii forumz.
 
mbona karibu na bure mie nishakutumia ujumbe wa kukuomba uwe my friend wangu.Nalog off
 
@Choosen, sante. kwahiyo tunaanza vipi?
 
@Washawasha, sante. ww ndio rafiki wangu wa kwanza Jamii forumz.
 
@Asprini, jinsia yangu me. nimekimbia FB sbb ya kufanyiwa ushenzi sitaki huo ushenzi ujirudie ndio maana nimefunga.
 
@Otis, sante. nimekubali nawe rafiki yangu sasa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…