HadithiZaRuvuly
JF-Expert Member
- Apr 16, 2014
- 369
- 114
- Thread starter
- #41
Daaaaah aiseeee noma sanaHahaha we jamaa humu HATUJUANI kama wasup tunatumia majina ya bandia humu
Daaaaah aiseeee noma sanaHahaha we jamaa humu HATUJUANI kama wasup tunatumia majina ya bandia humu
Ahsante mkuuKaribu sana Great Thinker. Mtafute dada mmoja anaitwa Faiza Foxy ni mashuhuri sana humu atakupa miongozo ya ziada.