Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,494
- 145,857
chezeiya mauchumba ya bongo wewe? hapo hata tarehe ya ndoa haijulikani
Hivi mbebs ni nini tena vile....? Ukikosea jibu nakuondoa kwenye chama...:becky:
chezeiya mauchumba ya bongo wewe? hapo hata tarehe ya ndoa haijulikani
Niko na mpenzi wangu mwaka wa 11 sasa,
Tumetambulishana kwa ndugu na jamaa za pande zote mbili.
Mara nyingi tuna shiriki sherehe mbalimbali pamoja na misba, kilicho tokea mwanzo mwa mwaka huu nikiwa naelekea nyumbani kwake nika kutana yeye pamoja na kijana mwingine wanasindikizana aliponiona Alishtuka kidogo na kumtambulisha yule kijana kwangu kwamba mimi nirafiki yake na yule kijana ni kaka yake. mie nikaridhika shingo upande, siku nyingine akijua kwamba nitakua mbali akanitaarifu kwamba anampeleka yule kaka yake shambani kwake na watashinda wote huko siku nzima , nikawwapa dereva wangu. walipofika huko wakamwambia dreva yeye arudi mjini.
Naomba ushauri wana JF
1. Je inawezekana yule kijana ambae kwa miaka yote hajawahi ata kumtaja akawa nduguyake?
2. kule shambani walienda kufanya nini mpaka wakamruhusu dereva aondoke?
3. kwa miaka yote tulkua tuna tembelea rim je nianze kutumia C? au niachane nae?
oyooo umemuona super baby leo.temana na hawa wachumba wa karne kaka twende zetu kwa mabebs wa ukweliHivi mbebs ni nini tena vile....? Ukikosea jibu nakuondoa kwenye chama...:becky:
Hivi mbebs ni nini tena vile....? Ukikosea jibu nakuondoa kwenye chama...:becky:
chezeiya mauchumba ya bongo wewe? hapo hata tarehe ya ndoa haijulikani
oyooo umemuona super baby leo.temana na hawa wachumba wa karne kaka twende zetu kwa mabebs wa ukweli