Niko na mpenzi wangu mwaka wa 11 sasa,
Tumetambulishana kwa ndugu na jamaa za pande zote mbili.
Mara nyingi tuna shiriki sherehe mbalimbali pamoja na misba, kilicho tokea mwanzo mwa mwaka huu nikiwa naelekea nyumbani kwake nika kutana yeye pamoja na kijana mwingine wanasindikizana aliponiona Alishtuka kidogo na kumtambulisha yule kijana kwangu kwamba mimi nirafiki yake na yule kijana ni kaka yake. mie nikaridhika shingo upande, siku nyingine akijua kwamba nitakua mbali akanitaarifu kwamba anampeleka yule kaka yake shambani kwake na watashinda wote huko siku nzima , nikawwapa dereva wangu. walipofika huko wakamwambia dreva yeye arudi mjini.
Naomba ushauri wana JF
1. Je inawezekana yule kijana ambae kwa miaka yote hajawahi ata kumtaja akawa nduguyake?
2. kule shambani walienda kufanya nini mpaka wakamruhusu dereva aondoke?
3. kwa miaka yote tulkua tuna tembelea rim je nianze kutumia C? au niachane nae?