Naomba ushauri

Naomba ushauri

cold water

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2021
Posts
323
Reaction score
1,128
Mimi ni mwanamke lakini nina mchumba anaitwa X tulikua tunafanya kazi mkoa wa Ruvuma Songea kwa sasa yeye anahamia mkoa wa Njombe kikazi pia na itakua permanent place yake

Hofu yangu ni mahusiano kuvunjika

Ushauri wenu japo anasema ananipenda umbali Sio shida, nawaza atanisahau akienda huko Njombe kweli mapenzi yatakuwa kama mwanzo?
 
Mtavumiliana miezi mi tatu au mi nne then baada ya hapo yeye atapata demu na wewe utapata bwana ila wote mtakua mnajiiba huku mkidanganyana mnapendana.

Mwisho wa siku mmoja ataanza kuonyesha makucha
 
Mimi ni mwanamke lakini Nina mchumba anaitwa X tulikua tunafanya kazi mkoa wa Ruvuma Songea Kwa Sasa yeye anahamia mkoa wa Njombe kikazi pia na itakua permanent place yake,khofu yangu ni mahusiano kuvunjika ushauri wenu japo anasema ananipenda umbali Sio shida
Umesema mchumba wako anaitwa X sio?

Isije ikawa ni Xi Jinping
 
Mimi ni mwanamke lakini Nina mchumba anaitwa X tulikua tunafanya kazi mkoa wa Ruvuma Songea Kwa Sasa yeye anahamia mkoa wa Njombe kikazi pia na itakua permanent place yake,khofu yangu ni mahusiano kuvunjika ushauri wenu japo anasema ananipenda umbali Sio shida,nawaza atanisahau akienda huko Njombe kweli mapenzi yatakua kama mwanzo?
Doctor?
 
cold water mapenzi yanamtesa aise !!


Nwei,mapenzi ya mbali yanawezekana kama wote mna uaminifu,mapenzi ya kweli na hofu ya Mungu

Jambo la msingi kwenye mahusiano ni mawasiliano ya mara kwa mara na ukiwa/akiwa anapata chance ya kukutana msiipoteze
 
Siwezi mfata na mimi nipo songea permanent job na ni wachumba tu hatuna ata mtoto uchumba wetu una mwaka
Pole sana,najua muda huu una umia sana na kujihisi mpweke mixer na kua na wasiwasi,

Kama anakupenda kweli na wewe unampenda kweli na mlikua na malengo yenu,basi usiwe na wasiwasi,ila muwe mnawasiliana mara kwa mara,

All the Best.
 
cold water mapenzi yanamtesa aise !!


Nwei,mapenzi ya mbali yanawezekana kama wote mna uaminifu,mapenzi ya kweli na hofu ya Mungu

Jambo la msingi kwenye mahusiano ni mawasiliano ya mara kwa mara na ukiwa/akiwa anapata chance ya kukutana msiipoteze
Well said, muhimu muwe na communication tu, huwa inaua mahusiano ya wengi sana maana mnapoteza ile mutual connection
 
Back
Top Bottom