Petro Oswald
JF-Expert Member
- Aug 17, 2015
- 2,394
- 1,918
Mbona kama vya kwangu lakini mbona vya kwangu ninavyo hapa.Naishi na wanangu wawili na mama yao,Wazazi wote ni wafanyakazi na Watoto wote ni wanafunzi wa umri wa miaka 7 na 12.
Tunatoka wote asubuh sana na kurejea usiku na wa kwanza kurudi ni watoto.
Sasa iwapo tumerudi na kuwakuta watoto wakiendelea na pilika pilika zao kama kawaida.
Nyumba ina mageti matatu...Geti kubwa la nje la kwenye uzio, mageti mawili madogo ya ndani...mara zote watoto hutumia geti moja tu la mbele kuingia ndani na kuendelea na pilika zao hadi sisi tunaporudi.
Leo tumerudi na kukuta viatu hivyo hapo pichani vikiwa kwenye geti la nyuma. Je, nini kifanyike kuhusu hivyo viatu na nini mawazo yako juu uwepo wa hivyo viatu hapo mlangoni?
View attachment 2486657
Pamojaa na wehuu wote walio jf...hapo boss umeshauri au umeulizaa?Jf kuna watu ni wehu, sasa mtazamo kuhusu viatu nani alikuwepo hapoo?
Enewei vitunze mkuuPamojaa na wehuu wote walio jf...hapo boss umeshauri au umeulizaa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila wazazi wa siku hizi aiseh wazembe sana, wajuaji.Naishi na wanangu wawili na mama yao,Wazazi wote ni wafanyakazi na Watoto wote ni wanafunzi wa umri wa miaka 7 na 12.
Tunatoka wote asubuh sana na kurejea usiku na wa kwanza kurudi ni watoto.
Sasa iwapo tumerudi na kuwakuta watoto wakiendelea na pilika pilika zao kama kawaida.
Nyumba ina mageti matatu...Geti kubwa la nje la kwenye uzio, mageti mawili madogo ya ndani...mara zote watoto hutumia geti moja tu la mbele kuingia ndani na kuendelea na pilika zao hadi sisi tunaporudi.
Leo tumerudi na kukuta viatu hivyo hapo pichani vikiwa kwenye geti la nyuma. Je, nini kifanyike kuhusu hivyo viatu na nini mawazo yako juu uwepo wa hivyo viatu hapo mlangoni?
View attachment 2486657
Mkuu, hapo tafuta housegirl, is simple logic, usalama hapo mdogo sana. Hiyo ni signal tu kua you need someone wa kukuangalizia nyumba yako pindi hampo. Nyakati zimebadirika sana.Nivifanyajee hivi viatu waungwanaView attachment 2487387
Asante Boss,usemalo ni kweli kabisaa...hilo nimeaanza mchakato leo hii.Mkuu, hapo tafuta housegirl, is simple logic, usalama hapo mdogo sana. Hiyo ni signal tu kua you need someone wa kukuangalizia nyumba yako pindi hampo. Nyakati zimebadirika sana.
Uko sahihi boss....cha kwanza kabisa baada ya kugundua uzembe mkubwa katika hiyo life style uliyoisoma ungekuwa wewe nini ambacho cha kwanza ungefanya...ndio tunajifunza pia katika haya mkuu...swala la malezi sio rahisi kama wengi tunavyofikilia na ni swala ambalo tunapaswa kujifunza kila siku kwa vile dunia kweli imebadilika...maana hao hao wadada wakazi ni changamoto kubwa mno kwa malezi ya watoto kuliko uwepo wa hivyo viatu mlangoni kwangu.Ila wazazi wa siku hizi aiseh wazembe sana, wajuaji.
Watoto wamekua wakiharibiwa na kurubuniwa kila kukicha lkn bado wazazi wengine hawashtuki wala kujigusa.
Swala la malezi si lelemama ndio lkn sio kwa kuwasusa watoto kias hicho.Uko sahihi boss....cha kwanza kabisa baada ya kugundua uzembe mkubwa katika hiyo life style uliyoisoma ungekuwa wewe nini ambacho cha kwanza ungefanya...ndio tunajifunza pia katika haya mkuu...swala la malezi sio rahisi kama wengi tunavyofikilia na ni swala ambalo tunapaswa kujifunza kila siku kwa vile dunia kweli imebadilika...maana hao hao wadada wakazi ni changamoto kubwa mno kwa malezi ya watoto kuliko uwepo wa hivyo viatu mlangoni kwangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Watoto isije kuwa kuna mtu anakuja kuwabaka, funga cctv camera na electric fence harakaSijawahi vaa viatu vya namna hiyo bosi
Hongera kwa kuongeza pair ya sandals kakaNivifanyajee hivi viatu waungwanaView attachment 2487387
Hawajuii chochote mkuu.Umewauliza Watoto kama wanajua chochote juu ya hivyo Viatu?
Beki 3 kaliwa kaachiwa manyoya.Asante mkuu,usafi nimefanya wakutosha last week.
Yaan huyu aliyeaacha sandals zake hapa...tumehisi labda alikuwa muhalifu sasa wakati anapambana kujaribu kutaka kufanya uhalifu watoto wakawa wanaingia hivyo akakimbia hilo ndio wazo la haraka haraka au umefikiliaje hapo mkuu.View attachment 2486691