Naomba ushauri

Ni kwamba hao watoto huwa wanakaa wenyewe wazazi mkiwa kwenye mihangaiko? I assumed kuna mtu huwa anawaangalia.
Tofauti ya muda wa kurudi kati ya watoto na mama yao ni plus or minus 2hrs ...hivyo wanakuwa wenyewe kwa muda mchache sana kwa kipindi hiki ambacho hatuna dada.
 
Nakushauri wakague wanao isije ikawa kuna Ankoo anakujaga, pili funga cctv cameras, tatu fanya uchunguzi taratibu hapo mtaani kujua ni vya nani.

Kuna muda ni muhimu kuw na mbea wako mmoja wa mtaani, inasaidia mambo madogo madogo. Usijitenge sana na mtaa Mkuu.
 
Nahitaji ushauri mkuu,maana uwepo wa hivyo viatu hapo ni wa kushangaza sana
Hivyo natafuta all possible scenarios za uwepo wa hivyo viatu hapo kutoka kwa wadau

Sawa ila kwa post yako ya kwanza, maelezo hayatoshelezi. Kajiongeze upate majibu zaidi ya maswali.
 
Wewe kama haujui saizi kuna walimu wanafundisha kulawitiana, sasa kuzaa mnapenda ila kulea nongwa, sasa nini ni nini?
 
Tofauti ya muda wa kurudi kati ya watoto na mama yao ni plus or minus 2hrs ...hivyo wanakuwa wenyewe kwa muda mchache sana kwa kipindi hiki ambacho hatuna dada.

Mna hatari sana, mkuu. Hao watoto ni wadogo sana kuachwa wenyewe hata kwa dakika 10.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…