The last don
JF-Expert Member
- Aug 3, 2011
- 1,166
- 1,421
Asante mkuu,usafi nimefanya wakutosha last week.Kagua nyumba nzima, kama hakuna mtu yeyote mgeni ndani, hzo viatu anza kuvivaa na kufanyia usafi wa mazingira hapo homu.
Uchawi hauend kwa mentali
Hatuna mfanyakazi wa ndani mkuuBeki 3 kaficha mtu ndani
Asante mkuu,usafi nimefanya wakutosha last week.
Yaan huyu aliyeaacha sandals zake hapa...tumehisi labda alikuwa muhalifu sasa wakati anapambana kujaribu kutaka kufanya uhalifu watoto wakawa wanaingia hivyo akakimbia hilo ndio wazo la haraka haraka au umefikiliaje hapo mkuu.View attachment 2486691
Limwizi limekimbia likaacha viatu.Naishi na wanangu wawili na mama yao,Wazazi wote ni wafanyakazi na Watoto wote ni wanafunzi wa umri wa miaka 7 na 12.
Tunatoka wote asubuh sana na kurejea usiku na wa kwanza kurudi ni watoto.
Sasa iwapo tumerudi na kuwakuta watoto wakiendelea na pilika pilika zao kama kawaida.
Nyumba ina mageti matatu...Geti kubwa la nje la kwenye uzio, mageti mawili madogo ya ndani...mara zote watoto hutumia geti moja tu la mbele kuingia ndani na kuendelea na pilika zao hadi sisi tunaporudi.
Leo tumerudi na kukuta viatu hivyo hapo pichani vikiwa kwenye geti la nyuma. Je, nini kifanyike kuhusu hivyo viatu na nini mawazo yako juu uwepo wa hivyo viatu hapo mlangoni?
View attachment 2486657
Daah kwelii sio rahisi...tulichofikilia labda kakurupuka kukimbia ndio maana kaziachaaKwamba mhalifu kaja na sandals na kuzivua ili asichafue, au sio?
Hapana mkuu,navaa namba kubwa zaidi.Vinakutosha?
Hili nalifanyia kazi mkuuTafuta dada wa kazi au funga cctv camera kwa usalama zaidi wa wanao wanaporudi.
Daah kwelii sio rahisi...tulichofikilia labda kakurupuka kukimbia ndio maana kaziachaa
Kwa sababu haya ni makisio tu ila ukweli halisi anaujua alieviacha. Kwakuwa watoto ndio wanawahi kurudi ni vyema akawepo mtu wa kuwapokea mpaka mtakaporudi wazazi.Hili nalifanyia kazi mkuu
Sijawahi vaa viatu vya namna hiyo bosiHivi si viatu vyak wewe [emoji23]
Asante mkuu.Kwa sababu haya ni makisio tu ila ukweli halisi anaujua alieviacha. Kwakuwa watoto ndio wanawahi kurudi ni vyema akawepo mtu wa kuwapokea mpaka mtakaporudi wazazi.