Naomba ushauri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba ushauri

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mvaa Tai, Mar 11, 2011.

 1. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #1
  Mar 11, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo, nimelazimika kuacha kutumia gari langu binafsi kwasasa natumia daladala tuu. Nasikia kwamba gari usipoitumia mda mrefu injini huaribika sijabahatika kupata maelezo ya kiufundi inakuwaje, naomba mwenye ujuzi katika hili anipe maelezo ya kisayansi, kwasababu gari yangu naipenda sana sitaki kuiuza nataka niipaki mpaka siku mafuta yatakaposhuka bei. Na kwa wataalamu wa uchumi naombeni mnishauri kama hii subira yangu itawezekana au lah! maana kuna mtu amenikatisha sana tamaa kwamba haiwezekani mafuta kushuka bei.

  Serious!!!
   
 2. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #2
  Mar 11, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  i see! hili nalo neno..
   
 3. mdoe

  mdoe JF-Expert Member

  #3
  Mar 11, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 436
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kutokana na historia ya bei za mafuta na bidhaa nyingine nchini, sioni dalili za kushuka kwa bei ya mafuta. Pole sana. Ila nakushauri uiuze usije ukaipaki milele.
   
 4. MUREFU

  MUREFU JF-Expert Member

  #4
  Mar 11, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,230
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  kaka kwanza pole sana ni kwel ukipak gal au chombo chochote cha moto ninahalibika kwasababu mashne zilizonying zanatengenenzwa kwa chuma hvyo ikikaa muda mrefu zikipigwa na hewa huwa zanasababisha ki2 kinachoitwa ku2 na hyo ku2 ndo huaribu hzo ingine au mashne na pia kutokana na hzo machne ku2mia mafuta tofaut unakuta yale mafuta yakikaa kwa muda yakichanganyika na hewa hutengeneza lea ndogo ndogo fulan hv ya maj na hayo maj ndo huja kuleta ku2. Kuhusu kupanda kwa mafuta kwa tanzania cjawah kuona awamu ya nne vi2 vipande bei vishuke bei hiyo haiwezekan hata kidogo mzaz zaid zaid yataendelea kupanda bei 2uu so tafuta namna ya kuiba ili uendelee kuish
   
 5. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #5
  Mar 11, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  lakini kaka unashida gani wakati hiyo avatar yako tu hapo ni usafiri tosha usiokuwa na presha ya kupanda kwa mafuta??
   
 6. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #6
  Mar 11, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Mungu wangu!!!
   
 7. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #7
  Mar 11, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha ha!
  Híi thread imenichekesha eti.
   
 8. Lutala

  Lutala JF-Expert Member

  #8
  Mar 11, 2011
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 845
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Nachokushauri we ipakai lakini uwe unaipasha moto mara moja kwa wiki. Nina uhakika kuwa mafuta ya kupashia bado unayo. Unaliwasha halafu unaliacha liungurume kama kwa dakika 10 - 15 halafu unalizima.

  Uwezekano wa bei ya mafuta kushuka ni mdogo sana lakini uwezekano wa kuongezeka kwa kipato chako ni mkubwa sana kama utafanya kazi kwa juhudi. Na kama ofisi inaruhu, unaweza pia kuchakachua hapa na pale ile upate hela ya mafuta.

  Pole sana. Na jua kwa nyinyi mliozoea magari yaenu binafsi kuja kupumuliana na sisi kwenye daladala ni ngumu kweli kama ngamia kupenya kwenye tundu la sindano. Ushauri: CHAGUA CCM 2015 ILI ISHUSHE BEI YA MAFUTA
   
 9. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #9
  Mar 11, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hah! Hah! Ha! Mafuta hayawezi kushuka bei mkuu, hata kama hapa kwetu ya kipatikana bei haitashuka kama unavyo jua viongozi wetu wanatumia rasilimali zetu kujitajirisha, kama alivyo sema mdau hapo juu tafuta mbinu ya kupata pesa ili uweze kumudu gharama...

  Mkuu, kweli unakosa hata tsh 40,000 uwe unaweka mafuta mara moja moja kwa mwezi na kulitembelea angalau kwa siku mbili ndani ya mwezi?
   
 10. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #10
  Mar 11, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  ulianza vizuuuuuriii..ila hapa
  ndo ukatapika!! pole sana..
   
 11. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #11
  Mar 11, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  mkuu pole kwani kama kusudio lako ni kupaki ili bei ishuke hilo sahau kabisa mana ata waarabu wakishusha hapo itabaki bei ileile kushuka mwiko. ili gari lisiharibike lazima uwe unaliwasha kila siku liache liungurume kwa dk 10-15 ila kama unalipenda kweli uclipaki hivyo uwe unatumia utokosa ata washikaji wakuchangia mafuta mnaofanya ofc moja mkitoka unawarudisha na asubui unawapitia job
   
 12. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #12
  Mar 11, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  sio kutapika tu ni uharo nimeckia kichefuchefu kweli
   
 13. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #13
  Mar 11, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Mkuu uwezo huo ulikuwepo tatizo lilijitokeza ni kwamba, majukumu yameongezeka mshahara haujaongezeka na bidhaa zimepanda sana bei. Kwa ufupi mshahara wangu umepitwa na wakati kuna kipindi nilikuwa namudu sana kuliendesha na kufanya savings na mbaya zaidi nategemea mshahara tu. Naogopa sana kumchakachua mwajiri wangu maana biblia inakataza.
   
 14. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #14
  Mar 11, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Vipi hakuna uwezekano wa mshahara kuongezeka? Kama hakuna ni bora ukaliuza hilo ndinga ukafungua biashara ambayo itakuingizia kipato cha ziada, maana maisha yanazidi kupanda, itafika wakati huo mshahara wako usiweze kutimiza mahitaji yako tena...

  Mkuu, kama mambo yamekaa vibaya uza hiyo gari ufanye biashara, gari wa kwa hali ya sasa kama hauna kipato cha kutosha kuliudumia litakufanya maskini kabisa...
   
 15. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #15
  Mar 11, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  umeona eeeh :lol::lol::lol::lol:
   
 16. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #16
  Mar 11, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  umeona eeeh :lol::lol::lol::lol:
   
 17. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #17
  Mar 11, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  nimeona mkuu
   
 18. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #18
  Mar 11, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  ni gari ya aina gani mkuu
   
 19. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #19
  Mar 11, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Suzuki escudo old model
   
 20. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #20
  Mar 11, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  du mkuu ni ya milango mingapi mkuu yani hyo gari yangu nazikubali kwenye 4wd ila zimenyima speed na ic ndani mbona kama ni 4silinda zinakula vzuri je tunaweza kubagain bei mkuu
   
Loading...