Nimekuelewa, bahati nzuri,Unafikira simple ila siyo hivyo.
Una mke kwenye uzee huwezi kuwa huyu huku huyu huku.
Mi nilihamia huku na mtoto tu kivulana cha jirani hata wanangu walikataa, baadaye kidogo binti yangu kanifuata.
Nyumba mjini zipo ila huku niliwahi let say five years before retirement, nikawa naenda job kutoka huku shamba, kila siku nauli ilikuwa elfu kumi, ila nilipenda nizoee mazingira.
Wakati huo niko na separation ya more than fifteen years, ila ndoa ya kikristo ndo hivyo.
Wale vijana wakasema kwa baba yao mama anaishi maporini anariski maisha.
He called me, nikamwambia nipe hela nirudishe mizigo mjini, alishtuka tu hata angenipa nisingerudi mjini.
Anyways ni mambo mengi sana,
Watoto ni wake, nikastaafu INSHALLAH, yeye atakuwa na 55Mke ana miaka mingapi na hao watoto ulizaa nae yeye anajishuhulisha na nini mke
Njoo tena kabla ya miezi mitatu kustaafu saiv wacha maisha yaendeleeWatoto ni wake, nikastaafu INSHALLAH, yeye atakuwa na 55
Vibiashara vya hapa na pale ,
Ambavyo havina impact yoyote kwenye maisha yetu
[emoji3516]Ni mateso tu wakishaamaliza kukutumia,
Mimi naona sisi wanaume ni kama watumwa kwa tu so waoa,
Faida ya kuoa ni ndogo sana kuliko hasara,
Nadhani kwa wanaume wa leo bora utafute watoto kwa njia zako kuliko kuishi na hawa watu, ni utumwa tu
Nazipataje hizo nukuuTafuta nukuu za mama EGW ujisomee pamoja na mkeo. Anasisitiza kuachana na maeneo ya mjini hasa nyakati hizi za mwisho.
asante mzee mwitore kwa huu muongozoNi mateso tu wakishaamaliza kukutumia,
Mimi naona sisi wanaume ni kama watumwa kwa tu so waoa,
Faida ya kuoa ni ndogo sana kuliko hasara,
Nadhani kwa wanaume wa leo bora utafute watoto kwa njia zako kuliko kuishi na hawa watu, ni utumwa tu
Wapi nkwenda au kaishoKaribu Kyerwa
Rubwera Hapa TownWapi nkwenda au kaisho
Hizo sababu ulizotoa inategemea vijiji na vijiji, kijiji changu kuna umeme huu mwaka wa 25, hata nyumba yangu ina umeme,Shida sio mkeo ni serikali
Vijijini hapafanani na mjini...kijijini hakuna huduma nzuri kama ilivyo mjini...hakuna ma-specialist wa magonjwa mbalimbali..
Hakuna hata starehe...Sauti za ndege kutwa.
Umeme wa mgao vitu bei ghari.
Barabara mbovu marafiki wa mkeo Hawawezi kuja kumtembelea mara kwa mara.
Mwongozo naona wengi wanaogopa kuishi kijijini,Natumae mleta mada ulipata muongozo...