B M F ICONIC
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 995
- 1,962
Nenda kweny hzi taasis zinzo wataftia wat Scholarship kam globar education link na kun jamaa ypo umu JF anasem ana uwezo uwo. Nadhan ana uzi jukwaa l biasharNatafuta sana scholarships lakini sjabahatika kupata, basi acha niwekeze na Kwenye kutafuta wamama wajane wa kizungu
Kweny kutafta hela hmna kujijshusha brand.Tuishen tena MKuu?
Kuomba nafanya mwenyew documents zote ninazo HAO bila pesa nyingi hupatiNenda kweny hzi taasis zinzo wataftia wat Scholarship kam globar education link na kun jamaa ypo umu JF anasem ana uwezo uwo. Nadhan ana uzi jukwaa l biashar
Mkuu kupata MTU wa kumfundisha Kwa 30k Kwa topic ni mziki piaKweny kutafta hela hmna kujijshusha brand.
KUn wat wamesom hzo koz wanafudisha tuishen ten table teaching topic moj 30k. Wngn mpak wamefungua n youtube channel ya kufundishia. Labda kama ww n Team ajira
Ooh sawa bas na nikichukua Ili nisome master's baadae itakuaje inakubalika?Vigezo vya kazi Tanzania nzima ikiwemo Utumishi,qualification zake ni degree ya kwanza katika masomo uliyoyachukua.kwa kusoma kwako hiyo postgraduate ya procurement hakutakuwezesha ww kufanikiwa kuomba kazi za hiyo fani ya procurement.
Ni mbaya zaidi kwa kada yako hiyo ya ualimu categorisation ambazo zinakubali ni chache sana,ikiwemo zile position za academic Officer au zile kada zisizohitaji professionalism.
Kama lengo ni kuongeza kipato,basi tumie hiyo hela tafuta nafasi Halmasgauri,wizara ya Elimu au Wizara ya TAMISEMI,na baadhi ya Taasisi kama PSSF,NSSF zina nafasi kama Afisa Mafao ambazo hazihitaji professionalism.
Vilevile,kama lengo ni kwenda nje tafuta kozi za diploma katika mazingira au nurse hizo unaweza kubahatisga kwenda huko.
*** but kumbuka lolote ufanyalo muda sio rafiki kama uonavyo.
Hahaha, wamama wajane! Isitembelee rimu.Natafuta sana scholarships lakini sjabahatika kupata, basi acha niwekeze na Kwenye kutafuta wamama wajane wa kizungu
Kila la kheriiSiwez kusoma kozi ya zaidi ya miaka miwili Kwasasa ya nchi ya level ya master's, postgraduate diploma ni mwaka mmoja TU na ada ni 1500000 Kwa TIA
Ooh asnte SanaNikiwa kama mzoefu wa mambo hayo haiwezekani .
Labda ufanye bachelor ya hiyo kozi.
Kazi ambayo watasema wanahitaji mtu mwenye .masters au post graduate zinakuwa nafasi za juu kwamba watataka mtu mwenye uzoefu wa mda flani kwenye kazi hiyo.
Hata kwa huyohuyo mwajiri wako wa sasa kufanya recategorization itkuwa ngumu kwa post graduate .
Nakushauri uanze na bachelor ya hiyo kozi nyingine hapo unaweza kuomba reecategorization kwa huyohuyo mwajiri wako au ukaomba kazi nyingine ya kuanzia (entry level) kwa kozi yako mpya